USIOE, Narudia tena, mpendwa USIOE!! - EDUSPORTSTZ

Latest

USIOE, Narudia tena, mpendwa USIOE!!


- Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea USIOE.
- : Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana sana halafu anatembea bila aibu mtaani USIOE
- : Ukiona msichana anakunywa pombe na kulewa akiwa bar USIOE
- : Ukiona msichana anaujasiri wa kusimama na wanaume hovyo barabarni bila kuona aibu USIOE
- : Ukiona msichana anaujasiri wa kukujibu vibaya hadharani USIOE
- : Ukiona msichana anatoa hela anasuguliwa miguu USIOE
-: Ukiona msichana unamtumia vocha halafu anakubipu USIOE.
Ukiona mwenzi wako kila mnapo gombana anakimbilia muachane USIOE.
Ukiona mwenza wako kila mda awaza starehe na anasa USIOE.
Ukiona mwenza wako hajawai au hakuusishi kwenye plans zake na akikuusisha anatumia "mimi" au "nita" au nafsi ya kwanza umoja, badala ya "sisi" au "tuta" jua huyo ana ubinafsi. USIOE wala KUOLEWA NAE 
Ukiona mwanamke anakwambia tutoe mimba mi staki kuzaa sahivi USIOE
ukiona mwenza wako anafanyiwa maamuzi na ndugu au wazazi juu ya mahusiano yenu USIOE 👍👍👍👍
Naomba kama kuna tabia nyingine mbaya unaijua comments hapo chini,
NA WEWE MSICHANA LUKSA KUSEMA HUTAKI MWANAUME WA TABIA GANI
💖💖💖💖💖
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz