Uhuru Wa Nafsi Ni Bora Zaidi Kuliko Mahala Penye Pesa Ila Dharau Na Manyanyaso Mengi Kupita Kiasi. - EDUSPORTSTZ

Latest

Uhuru Wa Nafsi Ni Bora Zaidi Kuliko Mahala Penye Pesa Ila Dharau Na Manyanyaso Mengi Kupita Kiasi.

Uhuru Wa Nafsi Ni Bora Zaidi Kuliko Mahala Penye Pesa Ila Dharau Na Manyanyaso Mengi Kupita Kiasi-
jikubali Na Jitunze Ulivyo Ndivyo Mungu Alivyo Kuumba-
kama Kuna Anae Kudharau Kwa Ulivyo Basi Jua Yupo Anae Kuheshimu Vile Vile Tokana Na Ulivyo
-kama Yupo Alie Kutupa Na Kuku Umiza Kwa Jinsi Ulivyo Basi Amin Yupo Atakae kuokota Na Kukuheshimu Daima Kwa Jinsi Ulivyo-
Usitake kufanana nao
Usitakae kuwa yeye,bali baki kuwa wewe
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz