NINI MAANA YA MWANAUME KUHITAJI MKE? - EDUSPORTSTZ

Latest

NINI MAANA YA MWANAUME KUHITAJI MKE?

Nini Maana ya Mwanaume kuhitaji Mke;
• MWANAUME HUHITAJI MKE KWA AJILI YA KUJENGA FAMILIA💯
Na unapo zungumzia FAMILIA unakuwa kwenye kumtambua MKE aka MAMA WATOTO na Mtoto ama watoto wenyewe, Wengi hawajui kwanini naimba wimbo wa MWANAUME BILA KUJITEGEMEA MWENYEWE KWA KIPATO HATAWEZA KUOA na akilazimisha atakuwa amejitwisha mzigo wa MATATIZO kwani Mwanamke bila mahitaji stahiki kutoka kwako LAZIMA ATAKUUZA TUUU😂😂
Na ninaomba wanawake mnielewe na mjue jambo hili;
• MWANAUME MWENYE UPENDO WA DHATI HUMUOA MWANAMKE BURE ILI AKATIMIZE MAJUKUMU ALOPEWA NA MUNGU💯
Hata iweje haitawahi kuwa kama mnavyozichukulia NDOA zenu etiiiii HAKI SAWA KWA WOTE ndo maana maumivu ya MAPENZI hayawezi kupungua ila yanakuwa katika hali ya tofauti tu, Maana ili Mwanaume afurahie ndoa yake ni wajibu wa Mwanamke KUMTII na KUHESHIMU NAFASI YA MUME KWENYE MAISHA YAKE.
Vivyo hivyo Mwanamke ili awe na AMANI kwenye ndoa yake yampasa MUME KUMPENDA na hapo ndipo ile maana ya NDOA ITAANDIKWA💯
Lakini kama ndo mnavyo oana kwa MIZANIA wallah nawaambia NDOA ITABAKIA HISTORIA wala hutaiona kwa uhalisia wake...
Ndoa ni kwa MAANA YA MUME PEKE YAKE maana yeye ndiye abebaye jukumu la kutunza famila, Wewe Mwanamke ukitaka NDOA utakuwa unajitaabisha bure kwani utamlazumisha Mwanaume aoe Mwanamke ambaye si chaguo lake 😂😂
Jamii iliyopo sasa ni HATARISHI KWA USITAWI WA MAPENZI maana UMASIKINI nao unawasababisha wengi kutamka UPENDO huku wakijua nini wanataka, Ndo maana kwa Mwanamke ili walau awe na hakika ya UPENDO WA MWANAUME ni pale anapokuwa hana kitu kinachomfanya APENDWE Yaani iwe UPENDO WA BURE💯
Na kwa Mwanaume yeye vyovyote atakavyokuwa kikubwa YEYE NDIYE AWE NA TAMKO LA NDOA HUSIKA huku akijua wajibu wake kwa mkewe wallah MWANAMKE YEYOTE ATAMTII kinyume cha hapo UKIONA PAMELOWANA👙 UJUE AMELIWAAA😎
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz