MWANAUME! KAMA UATAKA KUFANYA HAYA WE FANYA TU! - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAUME! KAMA UATAKA KUFANYA HAYA WE FANYA TU!

Kama unataka kuoa mwanamke mwenye Bikira fanya hivyo, kama unataka kuoa mwanamke ambaye hana mtoto fanya hivyo pia. Usiwageukie Wanawake ambao ni Single mothers na kuanza kuwaita majina ya ajabu kana kwamba wao hawafai kuolewa. Kama umeona kwako hafai muache peke yake kwa amani na utafute unayeona anafaa. Haina haja ya kuanza kuwaropokea maneno mabaya na kuwaita majina ya ajabu. Single mum nae ni binadamu mwenye damu na moyo wa kupenda kama wewe, anayo haki ya kupendwa, kuthaminiwa, kujaliwa hisia zake na zaidi kuolewa. Sio wote walitarajia kuwa hivyo walivyo. May this hour God visit all the single mothers struggling to raise their kids with integrity and honour. Cheers Single Mums 🍻
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz