MWANAMKE JIFUNZE MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUME/MWANAUME - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAMKE JIFUNZE MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUME/MWANAUME

1 *KITANDA*
_*Mwanamke jitahidi kitanda chako kiwe vizuri NA cha kuvutui kipambe vizuri, kwa mashuka mazuri yenye nakshi, na shuka inyooke vizuri, sio kitanda kinakuwa kama vile stoo ya nguo chafu.*_
2. *MANUKATO*
_*Katika chumba chako jitahidi sana, kiwe kinanuka kila Mara mumeo anapo rudi akiingia chumbani akutane na harufu nzuri, sio chumba chanuka jasho.*_
3. *USAFI*
_*Hili ni jambo la muhimu sana maana utakuta chumbani kuna vyupi vya wiki nzima, hazijafuliwa mataulo chini, masidiria, mumeo akikuta chumba kiko hivo ujue unaondoa mvuto.*_
4. *USAFI WA MWILI.*
_*Pia usafi wa mwili, mwanaume anavutiwa na utakavokuwa umejipamba na atavutiwa kimapenzi na wewe sio vichaka, au mwiko unatoka na kutu, mwili anakutana na chumvichumvi kwenye ulimi wake sio sahihi jamani.*_
5. *KUJIPAMBA.*
_*Mke jipambe vile mume anapenda sio ulazimishe mapambo yako mfano piko huwa inawamaliza ipake au hina kachore viua, wanja, shanga, bangili, kipini, kikuku, marashi, UDI, na kusuka vile anapenda sio kutwa kushinda na janaba.*_
6. *MAPOKEZI MAZURI.*
_*Wanaume wanapenda sana kupokelewa vizuri, kwa mahaba tele mapokezi utakayo mpa mtu jitahidi yawe ya mahaba, legeza macho, mwili, yaani ili mradi tu umchanganye mwanaume, Siyo umeshupaa kma mwanajeshi kwenye paredi.*_
7. *CHAKULA*
_*Jitahidi mwanamke kujua kupika sio tu kupika michakula kama ya jela michukuchuku mibaya, mamchuzi chururu kama watoto wanapika.*_
8. *MITEGO*
_*Hii ni njia ambayo watakiwa uwe mjanja ukimuona mumeo kakaa sebleni basi vaa hata shumizi jipitishe huku ukijitingisha Mara kwa Mara,ujue lazima atakutizama tu tena kwa mwendo nzuri wa maringo.*_
9. *MAPENZI*
_*Mapenzi si lazima kitandani tu popote ni muhimu maana wengine mpaka mume amwambie cheza basi.*_
10. *UKARIMU NA KUJIPENDEKEZA KAULI TAMU.*
_*Hata kama kwenu ulizoea kuwa na domo kama bakuli la togwa jitahidi kuchunga mdomo ukiona huwezi mumeo ngoja aondoke ufunge mlango ubwatuke peke yako kaa chizi, akirudi funga upuuzi wako zungumza maneno mazuri mnyenyekee.*_
11. *MAKELELE*
_*Wanaume wengi huwa hawapendi makelele wanapenda wakirudi nyumbani kuwe kumetulia isiwe kma choo cha umma, Wanaume wanapenda ukimya mahala panapokuwa kimya huzidisha mapenzi, sauti toa kitandani mukifanya tendonii na sio mida mingine.*_
12. *ZAWADI*
_*Jitahidi kumnunulia vizawadi pindi unapokwenda sokoni au dukani mwanaume hujisikia faraja pale ukimpatia zawadi sio akupe wewe tu hata pipi.*_
13. *MAVAZI*
_*Pendelea kumchagulia mavazi tazama rangi ya mwili wake kisha mchagulie nguo inayoendana na rangi yake ya mwili siyo mume mweusi waende kumvisha nguo nyekundu kma anaenda kupunga mapepo mamaa.!!!*_
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz