MSICHANA UNAYETAKA.KUOLEWA NGOJA NIKUAMBIE. - EDUSPORTSTZ

Latest

MSICHANA UNAYETAKA.KUOLEWA NGOJA NIKUAMBIE.


USIOGOPE NDOA WALA USIOGOPE MWANAMUME
OGOPA NDOTO ZAKO KUFA.
YANI KAMA NDOTO.ZAKO UTAZISIMAMIA VYEMA HATA UOLEWE NA NABALI LAZIMA UTOBOE.
NAMAANISHA.
MWANAMKE ANAYEWEZA KUSIMAMIA NDOTO ZAKE ZIKATIMIA HAKUNA KITU KINAMSHINDAGA.
Yani ni kama nataka kusema hiviii.
NDOTO ZAKO ZITAKUPA MUME SAHIHI.
Ukizitendea haki NDOTO zako niamini kwa asilimia 90 utapata mume 👌👍 NDOTO MAISHA
NDOA MAISHA.
NDOTO NI KITU KIKUBWA SANA MAIASHANI.
NDOTO NI MAISHA YA MTU.
Katika Kuishi na kupambania Ndoto zako Ndoto zinatabia moja ambayo naita
Kumshape mtu ama Kumtengeneza Mtu.
Mtu anaywsimamia NDOTO ZAKE Kwa Uaminifu Yani atake asitake
NDOTO ZITAMUENDESHA AFANYE NINI,AVAE NINI,AWE NA KINA NANI YANI HIYO NDIYO NDOTO.
Ninaamini kabisa Umenisikia.
NDIO MAANA NATAKA MSIOGOPE NDOA WALA WANAUME.
CHA MSINGI KABLA HUJAAMUA KUWA NA MAHUSIANO NDOTO ZAKO UNAZIJUA?UMEZITENDEA HAKI?
Nilikuwa nawaza jambo wiki nzima Hii.
JAMBO ZITO SANA.
Lakini nikajikuta nacheka ndani ya Uzito huo.
Kwa sababu NDOTO ZIKANIPA MAJIBU.
Yani kama.umeolewa na unanielewa hapa ni Hivi,
Mwanamke jasiri,shupavu na Imara yani Hata NDOA HAIMSUMBUI.(Haina maana hakuna changamoto la hasha. zipo ila ni IMARA)
YANI MWANZO WA MAISHA KUWA MAGUMU,NDOA KUWA NGUMU,MUME KUWA MGUMU INAANZIAGA
NDOTONI.
Una ndoto?
Unazisomamia Ndoto zako?
AISEE ISHI HIII MSICHANA UTAKUJA KUNIAMBIA IRENE I SAID IT.
NDOA NI MAISHA NA NDOTO NI MAISHA.
Yani Ukiishi Ndoto zako kwa USAHIHI Zinakiletea "BONGE LA MUME"
Barikiwa na Bwana wa Majeshi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz