KWANINI HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI - EDUSPORTSTZ

Latest

KWANINI HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI

Kwanini hakuna Mwanamke mbaya duniani;
• KWA SABABU UZURI WA MWANAMKE UNAZALIWA NA MATAMANIO YA MWANAUME💯
Mwanamke mbaya ni yule aliyekinaiwa na Mwanaume, wakati huo huo Mwanamke huyo huyo aliyekinaiwa ndiye Mwanamke mzuri kwa Mwanaume anayemuona kwa mara ya kwanza.
Na hapo utanielewa kwamba MWANAMKE MBAYA NDIYE MWENYE THAMANI KULIKO MZURI wakati huo HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI😂😂
Uonapo uzuri wa Mwanamke ujue tayari amekuwa REJECT kwa Mwanaume mwenzio, Lakini kwa Mwanaume mjanja Mwanamke aliye wahi kuwa wa Mwingine huyo ndiye mzuri kwa kuleta CHACHU YA AMANI kwako kwani maumivu alopitia ni dhahiri yatamfanya kuwa na UTII kuliko kumfundisha UTII Mwanamke📌
Mwanamke ili awe amekomaa ki fikra ni lazima apitie misukosuko ya MAPENZI hiyo ndo humjenga kujua tofauti ya UPENDO WA DHATI NA UPENDO WA SABABU.
Kila Mwanaume na afahamu jambo hili;
• HUTAWEZA KUENDANA NA AINA YA MIVUTO YA WANAWAKE KWAKO KWANI KILA MWANAMKE ANAPUNGUKIWA NA HITAJI LAKO JAPO MOJA ILI UTIMIZE HAJA YA TAMAA YAKO📣
Vivyo hivyo Mwanamke yeyote lazima akupe starehe japo tofauti yao ni MASHAMU SHAMU kwani radha ya Mwanamke inatokana na ukusanyaji wa mate yako Mwenyewe🙈
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz