KWA MABINTI NA WANAWAKE Huitaji Muujiza Kutambua kwamba Mwanaume Wako Anakupenda Au Hakupendi. - EDUSPORTSTZ

Latest

KWA MABINTI NA WANAWAKE Huitaji Muujiza Kutambua kwamba Mwanaume Wako Anakupenda Au Hakupendi.

Ni rahisi sana kujua kama Unapotezewa Muda Wala sio Mpaka Usikie Sauti Ya Mtume Au nabii kutoka kwa Mungu Kutambua Kwamba Mwanaume wako Hana malengo na wewe.
Kwa wanaume Ni rahisi Kujionyesha , hata kama anapretend (anajifanyisha/kuigiza ni rahisi kujua)
Nasema hivi kwasababu,,
Mwanaume kama anakuwaza na kukumisi basi atakupigia simu ili tu asikie sauti yako. Na kama anahitaji kuwa faraga na wewe atasema wala hataficha.
Kama anakujali na anakufikiria basi atakwambia hawezi kukuficha lazima mdomo wake utamke .
Kama anakuwaza sana yaani humtoki akilini basi atafanya kila namna ili tu akuone hatakama uko wapi atakufwata.
Kama kweli anakupenda atakupigania. Hawezi kuruhusu chochote kipite katikati yenu ili kuwatenganisha. (Sasa sio ufanye makusudi unampotezea, hakyanani na yeye atakuona takataka)
Kama Hafanyi Hayo Mambo na Mengine Mengi ya kufanana na Hayo Aki Hakufai, Hastahili kuwa na wewe maana Hayo Anayafanya Kwa Mwenzako .
.
MABAHARIA WENZAGU MNISAMEHE NIMETOA MBINU😂
.
MSINITENGE MAANA NAWAPENDA DADA ZANGU.
*Enough*
💚@IBRAHIM
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz