HIVI UNAJUA KWAMBA MTU MBAYA AKIONDOKA KWAKO, HATA MUNGU HUANZA KUKUBARIKI KWA MAMBO AMBAYO ALIKUWA AKITAKA KUKUFANYIA. - EDUSPORTSTZ

Latest

HIVI UNAJUA KWAMBA MTU MBAYA AKIONDOKA KWAKO, HATA MUNGU HUANZA KUKUBARIKI KWA MAMBO AMBAYO ALIKUWA AKITAKA KUKUFANYIA.

Unapofanikiwa kuondoka kwa mtu ambae hakuwa kwa ajili yako, MUNGU huanza kukubariki kwa mambo ambayo alikuwa akitaka kukufanyia.
Hata siku moja usijute kwa yale yaliyotokea kipindi cha nyuma. Mambo ambayo yalikuletea huzuni na kuugua moyo.
Jaribu kuelewa kwamba yalitokea kwa kusudi iliyo njema kabisa. Siku zote tulia, find yourself, na kaa tayari kupokea baraka za Mwenyezi MUNGU.
"ITUNZE NDOA YAKO" whatsApp group 0717 442 212.
Au bonyeza link hapo chini ikupeleke moja kwa moja kwenye whatsApp inbox yangu
👇👇👇
Share
Like Page
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz