Hivi unajua kitendo cha dakika kumi kinaweza kuharibu maisha yako yote?? - EDUSPORTSTZ

Latest

Hivi unajua kitendo cha dakika kumi kinaweza kuharibu maisha yako yote??

!!mpende mumeo acha kucheat eti kisa hana pesa!!acha kucheat eti kisa hakufikishi siku hizi!!acha kucheat eti kisa umeshaizoea ndoa yako unaiona ya kawaida!!fikiri mumeo akijua!!fikiri siku akiamua kukuacha!!fikiria maisha watayoishi watoto wako baada ya kuachana kwenu!!!...fikiria kuhusu aibu ya kuachwa kisa eti umechepuka!!mpende mumeo ndiye aliyekupa heshima ya kuitwa mke!!!kuchepuka kwenye ndoa yako ni sawa na kuhalalisha mateso ya watoto wako!!!kumbuka mumeo akijua usaliti wako ni sawa na kunusa kaburi lako!!!...heshimu ndoa yako!!jifunze kuwa na talk!!tatua matatizo yako ya ndoa yako!!dada zangu hizo ndoa munazo zipiga dana dana kuna wenzenu wanaziota mpk ndotoni..wanafunga na kuomba MUNGU awape ndoa lakini kutwa wewe kudanganya unaenda kwenye kwaya kumbe unapitia kwa john wa maghorofani tamaa za ngono achana nazo kama mumeo hakuridhishi kaa naye chini muongee...utachepuka mpka lini!!!!!nakukumbusha tu kuwa ndoa ya kweli inatokea mara moja tu!ukiachika ukaolewa tena hiyo ndoa haiwez kuwa na heshima utaonekana bado una danga tu #kibonde
Counsellor
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz