HISIA ZA MWANAUME ZIPO KWENYE MATAMANIO YAKE - EDUSPORTSTZ

Latest

HISIA ZA MWANAUME ZIPO KWENYE MATAMANIO YAKE

58 Best ❤️RE+DeFiNeD images | Black love, Black couples, Love ...
Gharika iwapatayo wanawake kwa wenza wao, ni pale nature ya Mwanaume inapochukuwa nafasi yake, Ili Mwanaume awe na HISIA kwa Mwanamke ni mpaka AMTAMANI😜
Sina maana wanaume wote hushindwa kukabiliana na TAMAA zao bali ninaongelea juu ya Mwanaume ili awe na HISIA hapo hapo na TAMAA huinuka, Kitu hicho ndicho kimedhoofisha mahusiano pamoja na ndoa nyingi pale Mwanaume anaposhindwa kuepuka HISIA ZAKE zisiambatane na TAMAA kwa sababu tayari anaye Mwenza wake😭😭
Mwanaume anaweza kulala na Mwanamke asompenda ili tu akashuhudie MAPAJA YALIYOMTAMANISHA baada ya hapo Basi tena anakuwa hana shida na wewe.
Vile alivyoumbwa Mwanaume ni Mtu wa TAMAA na kwa sababu HISIA zake ziko kwenye MAMLAKA YA TAMAA ndo maana ili aridhike na Mwanamke aliye nae ni pale atakapokuwa AMEAMUA MWENYEWE vinginevyo kwake KUTAMANI kunaletwa na HISIA na kwa DUNIA tuliyopo Wanawake mnavaa nguo za KUWAFANYA WANAUME WA-IMAGINE ndani kupoje Basi PAMBANENI NA HISIA ZA MWANAUME mkiamini mmependwa na kumbe mwenzio yupo kutimiza MAJAALIWA YAKE😅😅
Ili uamini Mwanaume ni mwenye HISIA zinazotokana na TAMAA fuatilia MKE WAKE halafu angalia anaye tembea nae kwa kuiba wallah KUMSHIBISHA MWANAUME NI SAWA NA KUMLISHA MGONJWA MUDA WOWOTE ANATAPIKA
But Kuna Wanaume akiishakuwa na mwenza wake hathubutu kusaliti, Japo hao ni wachache kweli kweli WENGI WETU TUNA CHEPUKA👣
HITIMISHO;
Hisia za Mwanaume ni kama mbio za sakafuni akiishakudinya kama hakujui vile otherwise uwe na kajotoooooo
Usiamini HISIA za Mwanaume bali unaweza kuamini MATENDO YAKE hayo hubeba HISIA ZAKE ikiwa atakuchagua uwe wewe na sio kufuata TAMAA ZAKE
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz