WANAUME WANGEACHA KUMTUMIA MWANAMKE KWA MAHITAJI YAO KAMA MWANAMKE ANGEFANYA HIVI😂 - EDUSPORTSTZ

Latest

WANAUME WANGEACHA KUMTUMIA MWANAMKE KWA MAHITAJI YAO KAMA MWANAMKE ANGEFANYA HIVI😂

Image may contain: 6 people, people smiling

Kama Wanawake wangehurumiana na kuombeana UKOMBOZI WA PAMOJA WALLAH NAAPA WANAUME WANGEACHA KUMTUMIA MWANAMKE KWA MAHITAJI YAO😂
Kila Mwanamke analo hitaji moja tu kwa Mwanaume
"KUKUTANA NA MWANAUME AMBAYE ATASIMAMA KAMA MUME"
Mwanaume anapokuwa MUME anakuwa amempa PUMZIKO LA NAFSI MWANAMKE WAKE💃 Wanaume walio wengi wanaamini kuishi na Mwanamke ki babe ndo heshima ya kiumeni, MNAJIDANGANYA WANAUME WENZANGU😂 Ninayo sababu moja tu katika point yangu:
"WANAWAKE KWA KUZALIWA HAWAOGOPI DHIKI AU UMASIKINI kwani Imani ya Mwanamke NI BORA KULALA NJAA, KUKOSA MAVAZI lakini awe na FURAHA MAISHANI MWAKE💃 na hapo ndo utagundua kwamba Wanaume hawajajua hitaji la wanawake, Mwanamke analilia FURAHA kuliko chochote kwenye maisha yake kwa sababu anaamini KAMA HAJAPATA FURAHA hawezi kuona umuhimu wa kuishi na ndivyo ilivyo kwa Mwanaume japo uhitaji wa FURAHA ni sehemu ya uhalisia wa kimaumbile, siku wanaume watamthamini Mwanamke na kumbebea udhaifu wake NIAMINI HUWEZI KUKUTANA NA MWANAMKE AMEKONDEANA KISA MAPENZI ila atakuwa mwembamba kwa sababu ni mwili wake ama ameamua mwenyewe, Ifike mahala Wanaume tuungane kumpa haki za ki maumbile na haki ya ki mazingira Mwanamke ili ajikomboe ki FIKRA💪🏽
Maana leo wanawake wanaamini HAKUNA MWANAUME MKWELI😭
Na hilo limejengwa na Wanaume wenyewe, Unakuta Mwanaume anakutana na Mwanamke halafu ana-fake love ili Mwanamke akubari kirahisi na kumbe nia na madhumuni AMEBANWA HAJA TU na akishapumua anatoweka kama upepo wa kusi😂😂😂
Na nyinyi wanawake Hebu FUNGUENI VICHWA VYENU MKATAE KUTUMIKA KAMA KIBURUDISHO CHA MWANAUME🤦🏾‍♂
Itafuteni FURAHA NA AMANI kwa gharama zote ila msijirahisi kisa ni MWANAUME! HuweZi kuinunua FURAHA kwa thamani ya kitu bali unaweza kuipata FURAHA kwa kujipigania ki FIKRA kwamba unahitaji nini kwenye maisha yako ili uweze KUFURAHIA MAISHA🙋🏻‍♂
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz