USHINDI WA MWANAMKE UNA MAUMIVU MENGI NA BAADA YA HAYO NI MWANAMKE SHUPAVU💪 - EDUSPORTSTZ

Latest

USHINDI WA MWANAMKE UNA MAUMIVU MENGI NA BAADA YA HAYO NI MWANAMKE SHUPAVU💪

Image result for mapenzi wakubwa
Mwanamke najua vile shauku yako ni KUWA NA FAMILIA👪 lakini sio BORA FAMILIA👪 ila ni FAMILIA BORA👪 Uwe na MUME👫 lakini majaaliwa ya MUNGU uzae na watoto, Lakini ninajua kwamba kabla hujafikia japo robo ya safari yako ki maisha UMEJERUHIWA SANA💔 na pengine ulikata tamaa, ukakosa tumaini, ila kwa namna ambavyo MUNGU AMEKUJAALIA MOYO WENYE UWEZO WA KUENDELEA wala hukuacha kuchuchumilia ULILOJIAPIZA.
Najua ya kwamba USHINDI WAKO UNATOKANA NA UJASILI WA KUUMIZWA LAKINI UKASEMA YUPO ATAKAYE IJUA THAMANI YANGU💪
Na ndo Maana kwa uchungu UTAZAA na hiyo ndo maana halisi ya upana wa MOYO WAKO💝
Ili kujua kwamba MWANAMKE NI JASILI fuatilia MAPITO YAKE halafu ujiulize kwanini BADO ANATUMAINI?
Wajinga pekee ndo humdharau MWANAMKE eti kisa ALIMVULIA NGUO! Laiti kama ungelijua Mwanamke alivyokubeba na madhaifu yako wala hakukutolea japo moja la kukufedhehesha wala usingetembea kifua mbele ukijinadi kuwa KIDUME wakati ajuaye siri yako yupo kimya anakutazama tu, Wanaume wengi TUNAAMINI KWAMBA MWANAMKE NI KWA MAHITAJI YETU kwamba atakupikia, atakufulia, atakuzalia, atakupa penzi na Mengine ambayo tunaamini MWANAMKE NDIYE MTIMIZAJI😭😭😭
Mungu alipomwambia ADAM nimekupa msaidizi hakumaanisha EVA kazi yake kumpikia Mumewe tu au Kumfulia nguo bali Kuna siri kubwa katika hilo ila nikukumbushe kwamba;
"Kwa sasa hiyo tabia ya kumfanya mke kama kijakazi IMEFYEKELEWA MBALIII Kwani wanawake wanatubeba tu ila 65% ya Wanawake wa sasa WANAMUDU MAISHA YAO BILA KUWA NA MWANAUME ila kinachoendelea kuwaponza ni ile IMANI YA UDHAIFU WAO KWAMBA HAWEZI LOLOTE BILA KUWA NA MWANAUME.
Lakini ikitokea Wanawake wakapata ujasili💪 katika hilo wallah wanaume wa sasa mnavyopenda vya bure MWAFAAA"
Mpende MKEO kama unavyojipenda mwenyewe, Hiyo ndiyo maana halisi ya UPENDO.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔩🔧🔨




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz