KAMA WANAUME WANGEKUWA WANAFUATA MWANAMKE KWA UZURI WAKE BASI WANAWAKE WAREMBO WASINGELILIA MAPENZI JAPO NDO WAHANGA WAKUU WA MAPENZI🤔 - EDUSPORTSTZ

Latest

KAMA WANAUME WANGEKUWA WANAFUATA MWANAMKE KWA UZURI WAKE BASI WANAWAKE WAREMBO WASINGELILIA MAPENZI JAPO NDO WAHANGA WAKUU WA MAPENZI🤔


Kuna wakati Mwanamke mwenyewe anaishusha THAMANI yake hata kama Mwanaume amempatia💯
Wanaume sisi macho yetu ni DARUBIN 🔬 tunakagua kipi kipya kinachotamanisha na wala sio ambacho tayari TUSHAKILA🙈
Mwanamke fahamu jambo hili;
• KILA MWANAUME MMOJA ANAVUTIWA NA KIMOJA WAPO KWENYE MWILI WAKO NDO MAANA HUISHI KUTONGOZWA JAPO WEWE UNAONA FAHARI😎
KWA SABABU KILA MWANAUME NA MATAMANIO YAKE.
Mwanamke akijua kwamba MWILI WAKE NI HEKARU LA MUNGU ATAWAJIBIKA KUWA NA MWANAUME MMOJA ila kama ndo amejiachia kuwa sehemu ya TAMAA YA WANAUME niamini ili Mwanamke huyo akose soko ni pindi atakapokuwa amekosa ambaye hajamtamani 😂😂
Ujinga wa Mwanaume kwenye mwili wa Mwanamke ni pale anapotamani mapaja ya Mwanamke huku akijua bila kumtongoza Mwanamke huyo hatapata atakacho, lakini pia UPAJA hata uwe mzuri kiasi gani haukati tamaa ya Mwanaume kutaka wanawake wengine ila kama AKIMCHAGUA MWANAMKE WA NAFSI YAKE 💯
Ni jukumu lako Mwanamke kuijua THAMANI YAKO ili uweze kutofautisha kati ya KUWAVUTIA WANAUME NA KUHESHIMIWA NA WANAUME🤔
Uonapo Mwanaume anakufuata kukutongoza ujue HANA TENA HESHIMA NAWE 😂😂 ila akikuoa UKAWA MKE WAKE UJUE AMEKUHESHIMU 💯
Usiamini sauti ya Mwanaume isemayo NAKUPENDA 
Maana UPENDO wa Mwanaume ni pamoja na KUKUPA THAMANI YAKO MWENYEWE kitu ambacho wanaume 89% hawajui hilo.
Mwanamke kutongozwa ni HESHIMA KWA MWANAUME MMOJA ATAKAYEKUPA HESHIMA YAKO UKAWE MKEWE ila hao wengine fanya kama unasikia kelele za ndege mwituni 😂😂😂
Wanaume twapenda MTELEZO Yaani ukiona unafuatwa sana na wanaume wala usijione CAKE 🍰 bali hesabu unavyo vingapi vinavyo watamanisha wanaume kisha chukuwa hatua kupambana nao, Ila kama ndo mkikosa kutongozwa mnakwenda kutafuta MIVUTO kwa waganga wallah acha MTUMIKE TU😂
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz