UNAJIITA MWANAUME RIJALI HALAFU UNATABIA HIZI,,,,,,!! HUFAI - EDUSPORTSTZ

Latest

UNAJIITA MWANAUME RIJALI HALAFU UNATABIA HIZI,,,,,,!! HUFAI

UNA JITANGAZIA SIFA ZA KIJINGA KWA WATU KUWA UNA WATOTO WENGI wakat hakuna hata 1 anae kufahamu maana tangu umwage shahawwa zako hukutaka tena kukutana mama yake- wale wanao kutambua kama BABA hawapati msaada toka kwako zaidi ya kukuona usiku ukinyata ndan ya chumba alicho panga mama yao kwenda kutimiza haja zako za mwili--- UNA JIITA MWANAUME RIJALI afu una mpandishia sauti ya ukali MWANAMKE wakat kila kitu ni mali yake kuanzia ktanda had taulo unalo vaa-hata kodi ya pango ana lipa yeye---umekosa mishipa ya aibu mpaka una orodhesha wilaya na mikoa ambako ulizaa watoto na kuwa telekeza--miaka ina enda umri wa kwenda shule una fika ila bado hujiwi na roho ya huruma kumsaidia mwenzako kulea--"ATA LEA MWENYEWE MIMBA MBONA ANA FANYA KAZ NA KUPATA MSHAHARA-NDO RAHA YA KUWAPA MIM-BA WANAWAKE WENYE KAZ WALA HUANGAIKI " Hizi ni baadh ya kauli za wanao jiita marijali - MTOTO ANA HITAJI MALEZ YA WAZAZ 2 PASIPO KUJALI UCHUMI WAO--hata hivo kuna baadh ya GIRLS hubeba mimba kama siraha ya kulinda uhusiano-TUBADILIKE NDUGU
Image may contain: 2 people
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz