UFANISI WA JAMBO LOLOTE UNAHITAJI UTULIVU WA AKILI - EDUSPORTSTZ

Latest

UFANISI WA JAMBO LOLOTE UNAHITAJI UTULIVU WA AKILIImage may contain: 1 person

I... Uko na mpenzi wako lakini akili yako inawaza mambo Mengine kabisaa, Mwanamke ili aweze kuwa tayari katika tendo la ndoa inambidi Mwanaume kumuandaa kisaikolojia lakini pia ki mwili, Mapenzi ni moyo na moyo huo huo hupelekea akili kuwa sababu ya tendo la ndoa, Wewe akili yako haina utulivu SAA NGAPI UTAMPA BURUDANI MWANAMKE? Muda mwingine muachage kusingizia kila kosa kasababisha mwanamke Kwani Mwanaume wewe ni kichocheo cha UTULIVU WA MWANAMKE.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz