Thamani ya MTU au KITU hutajwa na Mwenye kuijuwa THAMANI HUSIKA... - EDUSPORTSTZ

Latest

Thamani ya MTU au KITU hutajwa na Mwenye kuijuwa THAMANI HUSIKA...Image may contain: 1 person, smiling, sitting, outdoor and nature
 Nafasi ya THAMANI aijuayo mtu kwa Mtu au kitu chake yeye ndiye hutengeneza mahala pa kuihifadhi THAMANI hiyo, Usipokuwa kwenye THAMANI ya Mtu huwezi kuonekana mwenye THAMANI na wala huwezi kupewa DHAMANA MOYONI MWAKE... Usijidanganye unapendwa kwa maneno matupu, Upendo unatajwa kwa matendo tena kwa wakati ambao umuhimu wako umeonekana kwake, Ni hakika UPENDO UKIDUMISHWA KWA MATENDO DHAMANA YA PENDO HUWA KUBWA! Mheshimu anaeweza kukuthamini maana ni ngumu kupewa THAMANI ikiwa huonyeshi kuheshimu THAMANI ALIYOKUPA MWENZA WAKO... Mapenzi/Mahusiano yanatuunganisha kwa urafiki, unapotoka kwenye misingi ya urafiki ni ngumu kuuona upendo kwa mwenza wako, Mpende anaeweza kukufanya ujione WEWE NI BORA maana huyo ndiye anaekupa THAMANI moyoni mwake.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz