NJIA RAHISI NA ASILI YA KUJIKINGA NA UTI NA MAAMBUKIZI UK-ENI . . - EDUSPORTSTZ

Latest

NJIA RAHISI NA ASILI YA KUJIKINGA NA UTI NA MAAMBUKIZI UK-ENI . .


.
Ni rahisi sana mwanamke kupata fangasi na uti inayojirudia rudia mara Kwa mara.
Uke wa mwanamke ni vyema kusafishwa Kwa vitu visivyowekwa kemikali ili kumkinga na magonjwa uk-eni
Kama ambavyo tunapiga mswaki kila siku, ndivyo ambavyo mwanamke unatakiwa ujiswafi kila siku.
Maji pekee hayatoshi kuweza kuondoa bacteria uk-eni.
Nyoa nywele za uk-eni mara zinapoota, kwani husababisha bacteria kuzaliana. Vaa nguo za ndani kotoni
Kata kucha na epuka kujiingiza vidole uk-eni
Kunywa maji mengi na epuka ng-on-o zembe, vaa pedi za pamba zenye kufyonza uchafu vizuri na usikae na pedi muda mrefu
Tumia femicare, njia ya asili kabisa inayosaidia bacteria wazuri wanaokulinda usipate maambukizi kuzaliana, ni vyema kuitumia hata kama huna matatizo mara umalizapo period au tendo la ndoa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz