Nisikilize Mwanaume ili nikufahamishe juu ya Mwanamke: - EDUSPORTSTZ

Latest

Nisikilize Mwanaume ili nikufahamishe juu ya Mwanamke:

Image may contain: 1 person, sitting
kila mwanamke hitaji lake kwa Mwanaume ni KUMPATA AMBAYE ANAMPENDA KWA MOYO... Unadhani anapomkosa Mwenye UPENDO agande tu kwako na wakati huna vigezo vya UPENDO WA KWELI? Najua wewe ni mtu mwenye maamuzi ndo maana UPENDO WA MWANAUME UNA UHUNI NDANI YAKE lakini hilo ndilo humsababisha Mwanamke akinai kuwa nawe, Mwanamke ni mtu mwenye UVUMILIVU ndo maana upendo wake una huruma ndani yake, Wanaume wamekuwa na dhana kwamba MWANAMKE KUWA NA MWANAUME ZAIDI YA MMOJA NI UMALAYA ila chanzo ni yeye wala hajui hilo, Mwanamke anaingia mahala kwa ahadi za UPENDO pamoja na caring kibao na kumbe anadanganywa unategemea ITAKUWAJE AKIBAINI AMEDANGANYWA? Kwa vyovyote vile lazima aondoke mahala hapo na kwenda kwingine kwani HATUWEZI KUISHI BILA MAPENZI... Msaada mkubwa kwa mwanamke ni kumpata Mwanaume mkweli japo kwa asilimia 55 tu kitu ambacho ni ngumu sana, Ngoja niwahabarishe Wanaume wenzangu "KUISHI NA MWANAMKE AKAFURAHIA MAISHA YA PENZI LENU NI RAHISI SANA KWANI UNAWAJIBIKA KUEPUKA KUMKWAZA MWENZA WAKO" Kama unaweza kum-cheat na huko ukaweza kupafanya pafurahie why Mkeo unashindwa kumfanya afurahie pamoja na uhuni wako? Waacheni wanawake wafurahie maisha kwa namna wanavyoweza kuhitaji kuliko kuwaumiza n then mkiwaona wamepata maamuzi mnanuna na kuwapakazia tabia zisizokuwa zao ila ninyi ndo chanzo cha hayo, Mwanamke JITENGENEZEE UHITAJI WAKO BILA KUMUOGOPA MTU kila jambo lenye kuleta FURAHA NA AMANI liko kwenye uwezo wako ni vile una tatizo la UVIVU WA KUFIKIRI.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz