NDOA NI MAISHA! - EDUSPORTSTZ

Latest

NDOA NI MAISHA!

Image may contain: 1 person, sitting
ni ujinga kupanga ndoa wakati hata kujua kama mnaendana tabia na mwenza wako bado, Sina maana kama anapenda DISCO nawe uwe unapenda, Hayo ni mambo madogo na yanaelezeka kutokana na HOBBIE... Tuliopitia shule kwenye mambo ya AMBITIONS, HOBBIES na mengine yanayofanana na hayo hawatanishangaa nikimpa ruhusa Mke wangu atoke aende swimming๐Ÿคฝ๐Ÿผ‍♀ ama Music๐Ÿคน๐Ÿผ‍♀ ila tu ajue jambo moja "NAHESHIMU UHURU WAKE" Niwaambie wanaume wenzangu na kama nitawakosea kwa namna moja ama nyingine MTANISAMEHE KUSEMA UKWELI... Mapenzi mazuri ni pamoja na UHURU niseme wazi unapokuwa umembana mwenza wako yaani akakosa UHURU unahatarisha penzi lako kwani kila mtu anacho kitu anapenda kwa binafsi yake, na kuna wakati ukimuacha mwanamke akaenda kwa marafiki zake alosoma nao, majirani pamoja na watu ambao amecheza nao utotoni YAKO AMBAYO ATAJIFUNZA! Unaijua maana ya neno MCHEPUKO? ndo ujue sasa ukimbana sana akipata upenyo UKIONA MANYOYA UJUE AMELIWA๐Ÿคฃ Na wewe mwanamke sina maana kwamba ndo ukajifunze tabia za MAFIGA MATATU... Sio wote wanaweza kufurahia UTULIVU WA MWANAUME WAKO tena nikwambie wanamtamani hatari, Nani Mwanamke hapendi KUPENDWA? Kila Mwanamke anataka akutane na Mwanaume ampende, Wewe ushapendwa na Mwanaume wako amekubari kukupa UHURU WAKO BINAFSI UNATAKA NINI TENA? Labda junia la kunguni wakunyonye damu ukomae kama betinaaa๐Ÿ’ƒ
Hata vitabu vitakatifu ๐Ÿ•Œ vimesema "VIKAO VIBAYA HUHARIBU TABIA" Utunze Uhuru wako kwa maana moja tu USIISHI KAMA MFUNGWA KWENYE MAPENZI WAKATI MAPENZI NI PEACE✌๐Ÿผ
Narudi tena kwetu Wanaume๐Ÿ˜‚
Wanaume Jamani Hebu tuacheni kuwafanya wanawake wajione kama ni MATEKA NDOA pindi tu unapokuwa umemuoa, Kweli ni maamuzi yako kumpa FURAHA NA AMANI MKEO ama kutompa but nikwambie? Hayupo Mwanamke anahitaji Mwanaume MBABE... ukitaka kujua Kwanini kila Mwanamke anahitaji MANENO MALAINI YAPENYE MASIKIONI MWAKE ishi nae kibabe halafu katokee kajamaa kumsemesha maneno malaini wallah UTAISOMA NAMBA๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Ngoja nikwambie na ukifanyie uchunguzi mwenyewe KWANINI MAHUSIANO YA MBALI YANADUMU KULIKO HATA NDOA? Watu wengi walio kwenye mahusiano ya mbali wanajitahidi kulijenga penzi kwa mawasiliano na mara nyingi mawasiliano yao hutawaliwa na EXCUSES za ki MAHABA ili kumuondoa mwenza wako kwenye kukata tamaa, Lugha laini ndizo zinazoweza kulijenga penzi pamoja na kuimarisha UHUSIANO kwa matamanio na mihemko๐Ÿ”ฅ
Mwanamke anapata hamu ya SEX kwa kusikia maneno matamu, Sasa rafiki unamtaka mwanamke na hujamwambia "MAMA NAIPENDA KITU YAKO LEO UNIPE MAPEMA KABLA HATUJALALA" n then unajifanya kidume akupe kwa kufuata wajibu wa kwamba UMEMUOA?
Gharaghabaooooo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Utaambulia SHAMBA LILILOJAA MAGUGU... Lakini ukimuandaaa ki akili wallah hutajua hata shamba limepaliliwa lini๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
PAMBANA NA HALI YAKO NA BROTHER JOHN KASHASEMA MSHAHARA USUBIRI๐Ÿ™‹๐Ÿป‍♂
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz