NANI ALIKWAMBIA MAPENZI MABAYA? - EDUSPORTSTZ

Latest

NANI ALIKWAMBIA MAPENZI MABAYA?

Mapenzi sio Mabaya, Wabaya WATU... Ukitaka kujuwa MAPENZI ni MAISHA uyakose MAPENZI YA KWELI hapo ndipo utabaini kuikosa Furaha na Amani! Ili ujue MAPENZI ni MAISHA jiulize ni kwanini unaumizwa na kulia leo na akitokea Mtu mwingine akasema I LOVE YOU moyo unapona na kusahau maumivu yote? Kosa walifanyalo wengi ni kuhisi wanachelewa kuwa kwenye MAHUSIANO na kujikuta wanazoazoa tu ili kujaribisha Kama Mtu huyo anaweza kuwa RIGHT PERSON... Swala linaloitwa MAPENZI linalenga UTU na ukiongelea UTU unakuwa umegusa HIMAYA YA MOYO! Usijaribishe MAPENZI ni hatari kubwa kwani ukumbuke ukijaribisha MAPENZI unajiweka kwenye RISK.
#Elista_kasema_ila_sio_sheria
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz