Nakuuliza Mwanamke🧖🏻‍♀ JE NA WEWE NI MIONGONI MWA POZEO LA MWANAUME - EDUSPORTSTZ

Latest

Nakuuliza Mwanamke🧖🏻‍♀ JE NA WEWE NI MIONGONI MWA POZEO LA MWANAUME

🤷🏽‍♂ 

Image may contain: 2 people, people smilingKwanza kabisa tambuwa jambo moja MAPENZI NI STAREHE KWA JINSIA ZOTE lakini unapokuwa na udhaifu wa kufanywa pozeo la mtu ambaye hata hataki kujua THAMANI YAKO wewe ni mjinga tu... Samahani sana kukwambia maneno magumu but tambuwa kwamba HAMU YA MWANAUME ISIKUKOSESHE HESHIMA NA THAMANI YA UTU WAKO laa niambie Elista mimi ndo kazi yangu hapo nitakuelewa👌 Imagine mtu anakuhitaji kwa nyakati ambazo kwake ni mhitaji, kwa mfano kipindi cha baridi anataka joto lako, Amekosa wa kulala nae ndo anakukumbuka BADO UNAJIDAI UNA BWANA? Hebu ujue UTU wako ili ukwepe kuonewa, Hebu jipe THAMANI wewe mwenyewe ili na mwingine akuthamini, Mtu anakupa nafasi kwa sababu ya mihemko yake halafu upo umeganda tu baadaye useme wanaume wabaya? Mwanaume by nature ni kama SIMBA🐆 awindapo yaani hamtazami mnyama mwenzie kwa huruma bali huifikiria njaa yake, Mbaya ni wewe ambaye unakubari kuwa RAHISI kwa porojo ya maneno ya mhitaji, Hutaki kuijua THAMANI yako kwamba uliumbwa kwa UBORA WA KUMFANYA MWANAUME AISHI KWA KULITEGEMEA JOTO LAKO? Umejiteka mwenyewe ki fikra unadhani uvuaji wako wa 👙ni hazina ya wewe kupendwa😇
Mapenzi ni MIONEKANO YA NJE kwamba nimekuona nikakupenda Swala la TENDO LA NDOA NI KAMA MBOGA ZA MAJANI🥗 KWENYE ROAST MAINI🍲
Mwambie Mwanaume "NIPENDE MIMI WALA USIUPENDE UMWANAMKE WANGU" Ukiona mtu anakutafuta kwa faragha wakati hajui hata asubuhi Umeamkaje? Wala hajui mchana umekula nini? Mjinga ni wewe ambaye KITUMBUA CHAKO KINATAJWA KUWA NDICHO KIPAUMBELE CHA MWANAUME😂
Hebu mnyime hiyo kitu uone kama atakusogelea maana wengi wao wanapenda MTELEZO wala wasijue hata unatunzwaje💃
HAUCHACHIIIIII kwanza kwa afya yako ni bora ukawa mchoyo, pia kwa heshima sio jambo zuri kila Mwanaume atake kukudandia, Ikisusuka ukaja kumpata wa maisha yako anakuta ishakuwa REJECT🙆🏿‍♂
Mwanamke kataa kufanywa pozea la Mwanaume bali mtafute Mwanaume atakaye ijua THAMANI YAKO💪🏽
Ni bora kukawia kufika lakini ufike salama.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria🙋🏻‍♂
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz