MWANAMKE TAMBUWA HAYA; - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAMKE TAMBUWA HAYA;

Image may contain: 1 person, sitting, close-up and indoor
Kila MWANAUME ni muongo.
Kila MWANAUME haogopi kukusaliti.
Kila MWANAUME ni mbinafsi.
Kila MWANAUME ni mwenye tamaa.
Lakini leo napenda nikupe MWANAUME ambaye hata akiwa na madhaifu yote hayo omba jambo Moja tu;
"AKUPE AMANI"
Maana usaliti ni siri, Ubinafsi ni siri, Tamaa ni siri, Yote hayo yanaelezeka na kupambania ila ni ngumu mno MWANAMKE KUIJUA THAMANI YAKO IKIWA MWANAUME ANAKUDHARAU kamwe huwezi kupata AMANI ikiwa Mwanaume ana ku-undermine, Lakini ikiwa Mwanaume kipaumbele chake kwako ni UPENDO Basi nafsi yako itakuwa na AMANI na nina hakika hapana kitu kitakudhoofisha.
Mwanaume hata awe Mwaminifu, Mkweli, anayejitoa, asiyetamani ila akakosa KUKUPA AMANI huyo hakufai, Kwa sababu kuishi kwenye MAHUSIANO ama NDOA ambayo haina mtazamo wa kujenga DHAMANA YA PENZI Maana yake ni DARAJA LA MTU ama kwa maslahi yake au kuvutia muda kwa safari yake ijayo kwenye MAHUSIANO AU NDOA ambayo yeye mwenyewe ndiye anayeitaka.
Waswahili walipata kusema;
#KaziNadawa
Hatuwezi kudumu kwenye MAHUSIANO AU NDOA ikiwa hatusimamii MAJUKUMU halisi yanayo tufanya kuwa PAMOJA.
Mahusiano pamoja na ndoa vinalindwa na URAFIKI kwamba kama huwezi kuwa rafiki wa Mwenza wako kumbe unafikiria nini zaidi? Yaani kwa mahusiano na ndoa za sasa kumkuta Mwanamke yupo HAPPY ni kama muujiza, Wanaume wengi wanajifunza TREATMENT za ajabu dhidi ya Mwanamke, Eti Mwanaume anaona fahari kutwa Mwanamke wake kulia na kumbembeleza asimuondoke, Na walivyo wajinga sasa wanajipa MAHOPE OOOOH WANAWAKE NI WENGI KULIKO WANAUME KIASI KWAMBA UNAWEZA KUMILIKI WANAWAKE WATANO BILA SHIDA😅😅😅
Mfuatilie Mwanaume wa aina hiyo unakuta wanawake wote wanamzidi uwezo maana yake AMEPAKATWA😎
Raha ya MAHUSIANO na NDOA ni moja tu;
KUFURAHIA NA KUILINDA MAANA HALISI hayo Mengine ni ya kupita, Kuna wanaume walijidai wajuaji kutesa wanawake lakini muda wao ulipokwisha WALIJUTIA DAIMA kwa sababu hawakujua MWANAMKE KWA UHALISIA AKIPENDA AMEPENDA ili achukie ni wewe mwenyewe Mwanaume kumvunja MOYO.
Mwanamke tafuta zaidi kuwa na AMANI na Mengine utazidishiwa kwa sababu MOYO WAKO NI JABALI.
#Elista_Kasema_ILA_SIO_SHERIA 💡
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz