MWANAMKE! HAYA NDIO MAMBO MATANO YATAKAYOKUFANYA UVUNJE NDOA YAKO - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAMKE! HAYA NDIO MAMBO MATANO YATAKAYOKUFANYA UVUNJE NDOA YAKO


Image result for UTAMJUAJE MWANAMKE ALIYEFIKA KILELENI KWELI?
LEO TUONGELEE MAMBO 5 KWA WANAWAKE YANAWEZA KUSABABISHA KVUNJIKA KWA NDOA USIPOKUWA MAKINI! Huwenda Mwanandoa Huyu Akayafanya Kwakuto Kujua Au Akijua Anatengeneza Kumbe Anahalibu.
Kuwa Makinia Kwa Mambo Yafuatayo:
1_SIRI ZA FAMILIA YAKO LAZIMA MZAZIWAKO AJUE.
Jitahidi siri za familia mna zitunza wanafamilaia wenyewe,hii itawapa mbinu na ukomavu wa kuku kimawazo na kuimalisha ndoa! Sijakataa mazaziwako kujua maboyako wapenzi, ajue kwamisingi ya kujenga na iamalisha.kumbuka familai inajengwa na wanandoa wili.
2_KUOMBA MSAADA KWENU!
Kila unapopata shida ya kimali au peesa aijalishi ndogo au kubwa unaomba kwenu! Kisa kwenu ni matajili mnapesa za kutosha! Mumewako anakuona unapesa kutoka kwenu. Hii haifai hata kidogo unaweza kumzarau mumeo na kutokumiheshimu. Kama unataka mtaji mshilikiane muombe pamoja na muweke mladi na isiwe mazoea.

3_KURUDI NYUMBANI MARAKWAMARA! Eti kasababu ulipo olewa nikaribu na nyumbani kwenu,kila saa ukokwenu,mumeo akikutafuta unaptikana kwenu eti uliwazoea, uliolewa kwanini? Hujui maana ya kuolewa? Hutakiwi kwenda kwenu bila ruhusa ya mumeo na isiwe mazoea.
4_FAMILIA KUTOENDESHWA NA NDUGU. Mnatakiwa msimame mke na mume meu wasimamizi wa familia na si ndugu! Mbali na hivyo mtakosa msimamo!
5_NDUGU KUJAZANA KWAKO BILA SABABU!! Ndugu niwengi unajikuta ndoo wamekaa kuongoza family, hawanamipaka yakufika iwe chumbani wamo, kitandani ndokwao! Elewa apo eshima hamuna na ndoa matatani.
sikatai ndugu wasiwepo!! Ndugu wawe na nidhamu na mipaka wsilete mazoea .
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz