CHUKUA HIYO. FAIDA YA KUVAA SOKSI MIGUUNI WAKATI WA TENDO LA NDOA. - EDUSPORTSTZ

Latest

CHUKUA HIYO. FAIDA YA KUVAA SOKSI MIGUUNI WAKATI WA TENDO LA NDOA.Image result for FAIDA YA KUVAA SOKSI MIGUUNI WAKATI WA TENDO LA NDOA
tafiti umefanyika na jopo la watafiti wenye utaalam wa maswala ya mahusiano na saikolojia wa chuokikuu cha wangeningen nchini uholanzi.Imebainika faida za kushiliki tendo la ndoa ukiwa umevaa sox miguuni. Waligndua baada ya utafiti huo kwa uvaaji wa sox miguuni kwa wanaume na wanawake kunaongeza hali zaidi na muonekano wa kufikia kilele kwa haraka zaidi na kwa kishindo mkubwa Kutoka 50% kabla ya kuvaa sox na 80% baada ya kuvaa.
UTAFITI Huo ulizaliwa kutoka kwenye ule wa awali uliofanywa 2011 na chuokikuu cha john hopkins. watafiti wa john hopkins walikuwa wakijaribu kusoma ubongo binadamu wakati wakishiriki tendo landoa kujua madhara ya kisaikolojia na mwili yanavyopatikana wakati wa kufika kilele.wakati wakiendelaea na zoezi watu wakiokuwa wakitumika ka sampuli wakifanya mapenzi,walilalamika hali yaubaridi ndani yachumbacha scanner yaubongo.ndipo walipoamua kuwavalisha sox ghafla uwezowao wa tendo landoa ukongozeka zaid 30%.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz