MAPENZI NI KAMA MCHEZO WA KUBAHATISHAğŸŽ³ - EDUSPORTSTZ

Latest

MAPENZI NI KAMA MCHEZO WA KUBAHATISHAğŸŽ³

Image may contain: 2 people, people smiling, people sitting

kuna wakati ukichambua upana na maana halisi ya mahangaiko ya MAHUSIANO/NDOA ndipo unabaini kwamba ni kama mchezo wa KUBAHATISHA na ukibet ukafauru SHIKAMANA🔩
Na ili uwe kwenye usalama baada ya kubet ukafauru usitamani KUCHEZA TENA
Na kama umecheza mara ya kwanza HUKUFAURU hesabu huna bahati, Maana unaweza kujaribisha kucheza tena ukajikuta unapata HASARA TU.
Kuna mambo mtu ukiona hayakupi FURAHA maana yake hayana ufauru kwa upande wako, Mapenzi yana nafasi kubwa kwenye MAISHA YA BIN ADAM kuliko hata KAZI kama huamini chunguza kwanini;
"KAZI MTU ANAFANYA KWA MUDA"
Lakini MAPENZI hayapangiwi MUDA Kwa sababu MAPENZI NI ZAO LA NAFSI yanawaka🔥 ama kuchanua🌹 kwa wakati unaoamuliwa na NAFSI.
Hivyo ukijua kwamba NAFSI inamhitaji Mtu fulani wala Usijaribu kujiuliza mara mbili mbili JUST DO IT👌
Wengi wamejikuta njia panda wasijue MSAADA WA KUPONYA MIOYO YAO BAADA YA KUWAPOTEZA WALIO WAPENDA KWA NAFSI😭😭😭
Mtu anakuwa na wa hitaji la NAFSI yake Lakini kwa madhaifu ama changamoto za ki bin adam Mtu anajikuta anamuacha aliyempenda kwa kiburi kwamba atampata Mwingine, MWINGINE utampata kweli kwa JINSIA na WAJIHI na hata ukitaka awe na muonekano kama ule wa aliyekuondoka inawezekana kabisa ila sio kwa UHALISIA
Ndo maana nikasema MAPENZI ni kama mchezo wa KUBAHATISHA ikiwa utabahatisha MSHIKE HUYOğŸ’ž
Ikiwa utakosa Basi usijaribishe KUPATA Kwani Kuna gharama sanaa kwenye KUBAHATISHA😭😭😭
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ğŸ”¨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz