MAMBO 10 AMBAYO YANAWEZA OKOA NDOA/MAHUSIANO YAKO - EDUSPORTSTZ

Latest

MAMBO 10 AMBAYO YANAWEZA OKOA NDOA/MAHUSIANO YAKO

Sanchi World akunusha story za kuhusika kwenye video ya ngono ...
*1. Kauli*
~ Jitahidi kuwa na lugha ya kimahaba, bembeleza, mpe heshima yake kama mume.
*2. Chakula*
~ Hakikisha mumeo unamtayarishia kila kitu. Sio anafika nyumbani. Yeye ndio aingie kwenye fridge akatoe chakula. Ainuke akatafute maji ya kunywa. Mtayarishie kila kitu. Mkaribishe mezani kwa mahaba. Kula nae huku ukimpa maneno matamu.
*3. Usafi*
~ Usafi wa nguo na mwili wa mumeo ni jukumu lako. Hakikisha mumeo anavaa nguo safi. Anapendeza na kunukia. Hakikisha unamtayarisha mwenyewe mumeo kabla ya kutoka kwenda kazini. Usikubali mumeo akaamka asubuhi wewe umelala. Akirudi toka kazini, hakikisha maji yake yapo tayari. Kila kitu kipo tayari. Nenda nae bafuni kama inawezekana na umuogeshe mumeo. Asubuhi pia kama utaweza oga nae. Mpe cha asubuhi kabla ya kutoka.
*4. Chombezo*
~ Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume wanapenda na huamsha hisia wakifanyiwa na wenza wao.
Akiwa kazini mtumie message za mapenzi. Muelezee jinsi ambavyo alivyokukuna vizuri usiku. Sehemu gani zilikusisimua sana alipokushika. Unavyomiss mboo yake. Unatamani akufanyie nini muda huo. Hakikisha unampagawisha kiasi akirudi home anatamani akubebe.
Mkiwa chumbani usitulie. Sio uko busy na simu na yeye yupo busy na simu. Chumbani ni sehemu yenu ya kujifinjari. Muegemee huku ukimpapasa taratibu. Muulize habari za mishughuliko yake huku ukiendelea kumpapasa huku na kule na kumpa kiss za kimahaba.
Siku moja moja mfanyie massage. Mwambie leo hebu tulia nikutoe uchovu mume wangu. Chukua mafuta ya massage. Mwambie alale kifudifudi. Mfanyie massage taratibu mgongoni. Shuka taratibu mapaka kiunoni. Matakoni na mapajani. Huku unajiafanya kumgusisha chuchu zako.
Mgeuze alale chali na umfanyie tena massage taratibu. Kuanzia mabegani unashuka taratibu kifuani, kwenye nyonga, shuka mpaka mapajani taratibu halafu unaiguza mboo kidogo. Unajifanya kama umekosea hivi. Inama kidogo umpe busu la mdomo. Mbusu shingoni. Unamng'ata kidogo halafu unashuka taratibu unamkiss kifuani na kwenye tumbo.
Acha na uendelee massage taratibu halafu sasa unaikamaata mboo na kuifanyia massage taratibu. Ukiona anataka kukojoa unaacha. Mpagawishe kisawasawa. Utaona anakukamata kwa nguvu na kukugeuza.
*5. Zawadi*
~ Jenga tabia ya kumletea au kumuwekea mumeo vijizawadi. Sio lazima vitu vya gharama. Lakini siku moja moja kwenye mizunguko yako unamchukulia shati hivi. Viatu au suruali umeiona nzuri. Vipipi au chocolate. Maua hivi, kalamu hivi nzuri kama ni mtu wa ofisini, kiji diary hivi. Muoneshe kwamba unamfikiria.
Upo zako nyumbani wamepitisha kitu umeona kinamfaa mumeo, mchukulie. Mfanyie surprise.
*6. Jenga undugu*
~ Hakuna kitu binadamu anapenda kama kuona unajali ndugu zake. Jenga uhusiano mzuri na ndugu za mume wako. Mama mkwe, mawifi, mashemeji, mashangazi. Usiwe wewe ndio mgomvi. Wacha mumeo aone ndugu zake ndio wagomvi. Utaona jinsi gani anakupenda.
Sio tena wewe ndio unakuwa mdomo mrefu. Kumbuka undugu huwa hauvunjiki lakini ndoa inavunjika.
*7. Mashoga*
~ Umeshawahi sikia ule msemo wa weka dawa mbali na watoto?
Basi weka mbali mashoga na mumeo. Acha kabisa tabia ya kutambulisha mashoga zako kwa mumeo. Mambo ya kujaza mashoga kwako. Acha kabisa. Ushoga ni nje ya nyumba yako. Kuwa na mashoga zako wachache wa uhakika lakini kutana nao huko nje. Usikubali kabisa uhusiano wako na mashoga zako ukaja kati na mumeo. Sumu kabisa.
*8. Mungu*
~ Binadamu huwa tunajisahau sana. Katika jambo ambalo lina uhakika wa kudumisha uhusiano wenu ni Mungu. Tengeneza mazingira ya kumkumbuka Mungu katika nyumba yako. Uwe ni muislam au mkristo hakikisha Mungu hasauliki. Kuna mambo ambayo unaweza fanya:
- Jenga tabia ya kuhudhuria sala ya ijumaa au misa ya jumapili kifamilia.
- Peleka watoto wakapate elimu ya dini. Ikiwezekana na wewe mwenyewe usome.
- Jenga mazoea ya kusoma Quraan au biblia nyumbani. Au hata kusikiliza na kuangalia mafundisho ya dini nyumbani.
Kwa kifupi usikubali nyumba yako ikawa gofu la dini.
*9. Mawasiliano na ushirikiano*
~ Tengeneza mazingira ya kuishi na mumeo kwa kuwasiliana na kushirikiana kwa kila kitu. Mshikirikishe mumeo kwa kila jambo lako. Na yeye muulize kwa kila kitu. Pangeni maisha yenu kwa pamoja. Usikubali kumuachia afanye yeye kila kitu. Jua kipato chake na wewe kama unafanya kazi muweke wazi kipato chako. Unganisheni nguvu zenu pamoja na mpange bajeti kwa pamoja.
Kwa kifupi mipango ya maisha yenu yafanyike kwa pamoja.
*10. Uvumilivu na kusameheana*
~ Hakuna jambo gumu kama kuvumiliana na kusameheana.
Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Asiye na hili ana lile. Kila mmoja ana udhaifu wake. Juwa udhaifu wa mwenza wako na kama unaweza mbadilisha basi taratibu mbadilishe kimahaba. Kama haiwezekani na ni hulka inayovumilika basi mvumilie. Kuna tabia ambazo hazivumiliki. Kama mume anepiga. Kama kazoea kukupiga huyo achana nae na mapema. Habadiliki na mwisho wake huwa ni mauti tu.
Lakini kuna mengine mnavumiliana. Jifunze kusamehe mwenza akikukosea. Usiweke fundo na kujifanya hutaki kusikia la nani wala nani. Ni hatari kwa afya yako. Kumbuka binadamu tunamkosea Mungu kila siku na anatusamehe.
Nafikiri ukiyafanya haya kwa ukamilifu wake mahusiano yenu yatabadilika sana.
💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz