*🍇KWENU WADADA🍇* *JITAMBUE SASA* - EDUSPORTSTZ

Latest

*🍇KWENU WADADA🍇* *JITAMBUE SASA*

Sanchi @sanchiworld - Instagram photo - Feelin myself ...
*-----•<°○●🍇●○°>•-----*
🍇Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondok
🍇Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe
🍇Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe
🍇Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe.
🍇Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu
🍇Haipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono
🍇Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea.
🍇Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu.
*🍇Ebu badilika🍇*
🍇Mume akiitaji chakula mtengee vizuri
🍇Mpakulie mumeo ukiwa umetulia kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu
🍇Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe
🍇Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe ukiwa msafi na umependeza tu kiasi, chakula kiingie tumboni vizuri.
*🍇Mume ana hadhi yake bhana🍇*
🍇Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni
🍇usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu
🍇Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga
🍇jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako
*-----•<°○●🍇●○°>•-----*
*Ukiyapenda yafanyie kazi*




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz