Makosa ni sehemu ya kujisahihisha, na hakuna aliyekosea akajua kosa lake bali atalijua kwa kusahihishwa na mwingine - EDUSPORTSTZ

Latest

Makosa ni sehemu ya kujisahihisha, na hakuna aliyekosea akajua kosa lake bali atalijua kwa kusahihishwa na mwingine

Image may contain: 1 person, sitting

Makosa ni sehemu ya kujisahihisha, na hakuna aliyekosea akajua kosa lake bali atalijua kwa kusahihishwa na mwingine, uonapo umekosewa na ukanyamaza kwa kuogopa kuibua mijadala pengine nawe unayo makosa yako sasa unadhani mwenzio ametengeneza WIN BALANCE🎡
Usikubari kuwa mtumwa kwa kubakia ukiumia peke yako na wakati ukisema unakuwa HURU MOYONI🙌
Kunung'unika hakuwapasi wenye BUSARA bali WAPUMBAVU
Mwambie mwenzio kile unaamini hakiendi sawa na kwa kufanya hivyo itakuwa rahisi kwako kumsahihisha na pengine asirudie kosa hilo, Lakini unaponyamaza na kuumia peke yako wakati Kuna uliyoyaona nikuite wewe sio MJENGAJI na muda wowote UTABOMOA lakini unafuga kidonda mwisho wake mbaya
FALSAFA YA UWAZI NI UKOMBOZI WA JAMBO LOLOTE lakini ikiwa Mtu hawezi kuongea ama kwa kuamua au kukatazwa Basi ATHALI zake ni kubwa, Mtu anapokuwa anao uhuru wa kuongea inakuwa rahisi sana kutotunga mambo ambayo yataleta uhalibifu, Ukiona mtu hasemi lolote juu ya MAKOSA anayoyashuhudia na kuyasikia kwa masikio yake mwenyewe haimaanishi kwamba ANAKUHESHIMU SANA maana UPENDO na MAKOSA ni vitu viwili visivyo na mahusiano yoyote zaidi watu hulazimisha viwe sehemu moja.
Ukiona hasemi ujue mambo haya;
 UNAYOKOSEA ALIKOSEA KABLA YAKO SASA ANAOGOPA UTAMKUMBUSHA.
 HANA UPENDO WA DHATI KWAKO NDO MAANA HAHISI MAUMIVU KWA MAKOSA YAKO.
Mtu wa aina hiyo ni HATARI kwa UHUSIANO/NDOA uliyopo Kwani muda wowote anaweza kufanya jambo likakushangaza, Dawa ya MAUMIVU ni kuongea na wengine hulia je wa kwako hufanyaje ukimkosea?
PENZI LILILO LA KWELI WATU HUKUMBUSHANA USAWA NA HAKI ZA UHUSIANO/NDOA YAO kinyume chake wewe ni TAWI🌿 TU NA KUNA MTI🌳 MAHALA😎
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz