KWANINI WANAWAKE WENGI WANAPOKUWA WAMEOLEWA NA KUZAA MTOTO WAKE WA KWANZA NDIPO HUKENGEUKA? - EDUSPORTSTZ

Latest

KWANINI WANAWAKE WENGI WANAPOKUWA WAMEOLEWA NA KUZAA MTOTO WAKE WA KWANZA NDIPO HUKENGEUKA?


Samahani πŸ™Mama zangu kwa kutumia neno "KUKENGEUKA" sina maana mbaya ila nina maana kwamba "KUTOKA KWENYE KAWAIDA NA KUBADILI MTAZAMO"
Asikwambie mtu MAPENZI NDIYO YANAYOJENGA CHUKI NYINGI KULIKO KITU CHOCHOTE DUNIANI... Mwanamke anapokuwa msichana ikumbukwe kwamba anajivunia umwanamke wake kuliko anapokuwa Mama, Mwanamke mahaba ambayo aliyapata USICHANANI wanaume wengi huyaacha baada ya kumuoa na kumzalisha Mwanamke, Kwanini nimesema Mwanamke akizaa ndipo hukengeuka? MWANAMKE KUIKOSA MAANA YA NDOA NA KUZAA BAADA YA MWANAUME KUSHINDWA KUENDELEZA UPENDO WAKE WA AWALI AMBAO ULIMVUTA MWANAMKE! Na shida huanzia miezi mitano ya mimba Kwani wanaume walio wengi hushindwa kuendana na mabadiliko MWILI wa Mwanamke, Mwanamke kuhitaji sana TENDO LA NDOA wakati huo Mwanaume kukosa tena hamu na Mke wake, Chukuwa hali hiyo mpaka akazae na kulea mtoto japo kwa miezi 4 tayari unakuta Mwanamke aliisha jenga chuki moyoni Maana Mwanaume hamjari tenaπŸ™†πŸΏ‍♂ na mbaya zaidi amekosa upendo ambao ulimfanya kuona furaha ya ndoa, Tamaa ya kila MWANAMKE kwenye maisha yake pindi anapokuwa amepevuka ni KUMPATA MWANAUME AMBAYE ATAKUWA NAE MAISHANI MWAKE MWOTE KWA DHIKI NA FARAJA ILA KWA MAANA MOJA KUBWA UPENDO WA DHATI na ndo maana udhaifu mkubwa wa kila msichana ni pale anapokutana na Mwanaume akamtamanisha kumuoaπŸ‘¨‍❤‍πŸ‘¨
Na udhaifu huo wa Mwanamke umesababisha kila Mwanaume anapomhitaji Mwanamke anatangaza ndoa kitandaniπŸ˜‚πŸ˜‚
Kukengeuka kwa Mwanamke kunakuja pindi aonapo Mwanaume wake ameondoka kwenye misingi ya ndoa yao na hapo ndipo MOYO WA MWANAMKE HUHANGAIKA UKITAFUTA KUJINUSURU ole wako Man huyo Mwanamke apate kidumu huko nje UTAJUTAAAπŸ’ƒπŸ’ƒ
Kwanza kabisa ujue MAHUSIANO MAPYA NI MATAMU kwa sababu mtu anahitaji mzigo lazima atabembeleza na kupetipeti ili ACHUKUE USHINDI🀣
Mazoea yamekula ufahamu wa wanaume na kuwasababishia Wanawake kukosa UAMINIFU KWA WANAUME! Na hapo ndipo palipomsababisha Mwanamke kuona NDOA NI HASARA YA MOYOπŸ’ƒ
Wanawake walioko kwenye MAHUSIANO YA KAWAIDA WANA WALAU AMANI KULIKO WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOAπŸ™†πŸΏ‍♂
Unajua ni Kwanini? Kwenye mahusiano kila mmoja anakuwa na woga wa kumpoteza mwenzie, Ila kwenye NDOA tayari ni kitanzi Mamaaa🀣🀣
Mwanamke kusaliti mpaka awe na sababu ila wanaume kusaliti ni kawaida yao, Na hapo ndipo Mwanamke akigundua Mume anamchukulia poa na Kuna akina John/Majid wanabeep beep wallah UTAKUTA MANYOYAAAπŸ’ƒ
Ndo maana napenda kuwaambia niwapendao kwamba UNAPOTAKA KUOA JITAFAKARI MARA MIA MIA safari hiyo sio ya mchezo, Yaani unapomchukuwa Mwanamke akiwa msichana chunga sana mambo mawili;
WAKATI WA MIMBA.
WAKATI WA KULEA MTOTO.
Usimpoendeleza UPENDO ALIO UZOEA PINDI MNAKUTANA imekula kwako brotherπŸ•ΊMaana Mwanamke huyo ataishi kungojea azae ili akulipize, Kipindi cha malezi ya mtoto ukijifanya Uko busy atavumilia but akiishaona mtoto amekomaaa MAJIBU YAKE NI HESABU YA KUZIDISHAπŸ˜‚πŸ˜‚
Unajua wingi wa kuzidisha ni nini? NI JIONGEZEπŸ™‹πŸ»‍♂
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria😎




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz