KWANINI JICHO LAKE BADO LINAANGALIA WENGINE👀 - EDUSPORTSTZ

Latest

KWANINI JICHO LAKE BADO LINAANGALIA WENGINE👀

Image may contain: 1 person, standing and outdooraswahili walisema;
"JICHO 👀 HALINA PAZIA"
Maana halisi ya msemo huo ni kwamba HUWEZI KUACHA KUTAZAMA KWANI JICHO LIMEONA KILICHO MBELE YAKE lakini napenda nieleweke kwamba SWALA LINALOHUSU MAPENZI maana yake ni wawili kuamua kuwa wamoja, Umempeda nae Amekupenda💑
Unaweza kujizuia kumuangalia Mwanamke mwingine ukiamua lakini, Upendo ukiwa mahala sahihi ni NGUMU sana kuruhusu udhaifu kupitia MACHO NA AKILI maana hivyo ndivyo viletavyo MATESO KWENYE NAFSI.
Pengine hukumpenda huyo na ukaona muda unayoyoma ukajichukulia yeyote sasa unakutana ama kumuona ambaye unafikiria ndiye JE UNAJUA MADHARA YA UAMUZI WAKO?
Maamuzi yako ya sasa yanaweza kuwa kwa USALAMA WAKO KESHO AMA IKAWA HASARA YAKO KUANZIA LEO
Je ulichagua ama uliamua? Maana ikiwa ulichagua ni ngumu kumlinganisha mwanamke wako na mwanamke mwingine, ila kama uliamua maana yake UAMUZI WAKO UNAKUGHARIMU SASA ndo maana kila ukiona skate, Skin tight masikio yanakusimama😎
Aliyechagua HUULINDA MOYO WAKE USIINGIZWE MAJARIBUNI kwa tamaa za macho, Lakini aliyeamua kamwe hawezi kutofautisha kati ya UBORA NA UZURI kwake yeye ni kupelekeshwa na macho mwisho wake ni kudhania MWANAMKE WAKE NI MBAYA na kumbe ukifuatilia MKE ni mzuri kuliko HAWARA hata ukiwapika chungu kimoja kamwe hawataiva.
Kila Mwanamke ni mzuri kwa namnaambavyo Hitaji la Mwanaume limemtazama kwa wakati huo, Waswahili walisema KILA SHETANI NA MBUYU WAKE.
Ikiwa Una HAMU YA TENDO LA NDOA usimtamkie Mwanamke NAKUPENDA maana wewe huna mlengo wa PENZI endelevu UTAUMIZA MOYO WAKE Bora umshawishi ki NGONO ili nae atamani na ukimaliza haja yako USICHONGE MZINGA maana hamkawii kusema NI TAMU😜 ili uendelee kusugua wenzio mwisho wa siku ukikinai UNAMWACHA MWENZIO AMEISHAKUPENDA😭
Usione vyaelea ukavitamani VIMEUNDWA HIVYOOO waache wenye kuijua THAMANI YA MWANAMKE WAJITWALIE
Wewe ni kama kunguru tu kutwa majalalani, unakula vilivyochina, unakula vibichi kamwe hutajua RADHA HALISI maana nature yako MAJALALANI.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria👊
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz