KWA WANAWAKE TUUUU - EDUSPORTSTZ

Latest

KWA WANAWAKE TUUUU

Image may contain: 1 person

Ewe mwanamke🌹
🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka🌹.

🌹Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe🌹

🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe🌹

🌹Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe🌹

🌹Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu🌹

🌹Haipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono🌹

🌹Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea🌹

🌹 Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu🌹
🌹Ebu badirika🌹
🌹Mume akiitaji chakula mtengee vizuri🌹

🌹Mpakulie mumeo ukiwa umetulia
kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu🌹

🌹Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe🌹

🌹Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri🌹

🌹Mume ana hadhi yake bhana 🌹

🌹Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni 🌹

🌹usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu🌹

🌹 Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga🌹

🌹 jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako 🌹

SHARE NA WENGINE




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz