KUNA MUDA MICHEPUKO KWENYE NDOA HUSABABISHWA NA MWANAMKE KUCHOKA TENDO LA NDOA KITANDANI, IKOJE? SOMA ZAIDI HAPA - EDUSPORTSTZ

Latest

KUNA MUDA MICHEPUKO KWENYE NDOA HUSABABISHWA NA MWANAMKE KUCHOKA TENDO LA NDOA KITANDANI, IKOJE? SOMA ZAIDI HAPA

Kuna muda michepuko kwenye ndoa usababishwa na Mwanamke kuchoka tendo la ndoa kitandani.
Kuna baadhi ya ndoa Mwanamke anaweza maliza mwezi mzima hajisikii kabisa kufanya tendo la ndoa hii pia usababishwa na uwepo wa mashetani katika maisha ya ndoa yao.
Wapo Wanaume wengi ulalamika kimya kimya juu ya kunyimwa unyumba na Wake zao au kupangiwa ratiba kabisa kitu ambacho kwa Wanaume huwa ni majaribu makubwa
Na katika maumbile ya Mwanaume kadri anavyofanya tendo la ndoa ndivyo anavyoitaji zaidi ili ndio sababu utaona wanaume walio kwenye ndoa wapo kwenye hatari ya kuchepuka zaidi kuliko wale ambao hawajaoa
#NZIGATIO
Ndoa na IHESHIMIWE NA WATU WOTE NA MALAZI YAWE SAFI MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA adhabu (Waebrania 13 :4)
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz