Kila Mtu anahitaji kuwa zaidi ya mwingine, - EDUSPORTSTZ

Latest

Kila Mtu anahitaji kuwa zaidi ya mwingine,

Kila Mtu anahitaji kuwa zaidi ya mwingine, Lakini kwenye uhitaji huo wa kuzidiana tunatofauti kubwa namna ya kulichukulia jambo hilo, Wengi huchukia mwingine anapokuwa amevuta hatua moja mbele, Bila kujua kwamba MAFANIKIO YANALINDWA NA HATUA... Ikiwa wewe umekalia wivu wa Kwanini ANIZIDI😳
MwenZio halali akiwaza namna mpya ya kuendelea mbele, Hatua moja akisogea anapata shauku ya kusogea hatua nyingine🏃🏻‍♂
Ikiwa utakuwa mwaminifu kuchukua hatua kidogo kidogo siku baada ya nyingine, siku moja utatazama nyuma na ushangazwe jinsi ulivyopiga hatua nyingi💃
Wacha wasemezane juu yako ili wewe UPATE BARAKA🙏
Maana ikiwa wewe NAFSI na MOYO wako huna CHUKI nao unadhani MUNGU ATAKUACHA KAMA WANAVYOKUWAZIA🤷🏽‍♂
Tarajia mshangao mkubwa juu yao wakati MUNGU atakuwa amefanya BARAKA JUU YAKO🙋🏻‍♂
#Elista_kasema_ila_sio_sheria.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz