KAMA HUJAOA AU KUOLEWA TAFAKARINI SANA JUU YA HILI KABLA HUJAFANYA MAAMUZI YA NANI ANAKUFAA KUWA MUME AU MKEO. - EDUSPORTSTZ

Latest

KAMA HUJAOA AU KUOLEWA TAFAKARINI SANA JUU YA HILI KABLA HUJAFANYA MAAMUZI YA NANI ANAKUFAA KUWA MUME AU MKEO.

Vijana ambao hamjaoa au kuolewa tafadhali tafakari sana kabla ya kufanya na kufikia maamuzi ya ni nani atakuwa mkeo au mumeo. Uamuzi huu mmoja waweza kuwa asilimia tisini na tano ya furaha au maumivu katika kuishi kwako.
Baadhi ya vijana linapokuja swala la mapenzi, utoto umechukua sehemu kubwa sana, nd'o maana mabinti wengi wameingia kwenye mauhusiano na wanaume wenye kujitambua na nidhamu ya kila kitu na sio kutizama umri wala kazi.
Lengo la mahusiano sio kutembea mmeshikana mikono, ama kujipiga selfie pamoja ama kuvaa nguo za kufanana, hayo mambo ni ya vijana wadogo, hebu komaeni muwe na magari ya kufanana, mjenge nyumba nzuri, muwe na date nights, na msafiri pamoja around the world.
Na njia pekee ya kufanikisha hayo ni kama wewe na mwenzi wako mtaamua kufanya kazi kwa bidii huku mkimtegemea Mungu.
Share

Image may contain: one or more people and people standing
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz