Jitahidi kufanya maamuzi sahihi Yenye msimamo na huku ukijua wewe n nan itakusaidia Sana - EDUSPORTSTZ

Latest

Jitahidi kufanya maamuzi sahihi Yenye msimamo na huku ukijua wewe n nan itakusaidia Sana


Watu hawawezi kukupa heshima wakati wewe hujajitambua wewe n nani
Kuwa unavyotaka kunaanza na wewe Kwanza ndani yako ndipo na watu watafuata
Kuwa tajiri unaanza wewe na watu watakuita tajiri
Kuwa Mtumishi inaanza wewe na watu watakuita Mtumishi
Kuwa mfanya biashara inaanza kwako na watu watakuita mfanya biashara
Kuwa kile unataka kunaanza na wewe
#
Image may contain: 2 people, outdoor
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz