HIVI NDIVYO MAPENZI YANATESA ULIMWENGU🌍 - EDUSPORTSTZ

Latest

HIVI NDIVYO MAPENZI YANATESA ULIMWENGU🌍


Huwezi kukwepa MAPENZI kwa sababu MAPENZI yanatufanya kuishi kwenye utulivu wa moyo pamoja na akili, Lakini pia MAPENZI ni MOTO🌋 UCHOMAO MOYO
na kama ujuavyo moto uwakao ndani hauna UOKOZI WA JESHI LA ZIMA MOTO ila ni yule ama kile ambacho kimewasha moto huo.
Kwenye kila NAFSI ya Mtu Kuna Mtu ambaye huyo ndiye ambaye analo jukumu la KUIPONYA NAFSI ILIYOPONDEKA
Wengi hatujui kubaini watu wenye NGUVU NDANI YA NAFSI ZETU Kwa sababu tunawazia zaidi starehe ya NGONO na sio kufuata MOYO unasema nini juu ya Mtu.
Huwezi kushindana na NAFSI kwa kutaka ambacho hakipo ndani ya MOYO wako, Ni ngumu mno KUDUMU NA MTU KWA SABABU YA TAMAA ZA MWILI
Ni rahisi mno KUDUMU NA MTU AMBAYE ANATAJWA NA NAFSI YAKO💪🏽
Kukwepa UTULIVU WA NAFSI NA KUENDEKEZA MIHEMKO niamini huwezi kufurahia bali utakuwa unajidanganya kwa sababu ukipata SEX unafikiri umepona, Nikwambie kweli HUWEZI KUPONA MATESO YA NAFSI KWA SEX kwa sababu sex haidumu akilini lakini hitaji la NAFSI huitesa akili, Uonapo unakosa usingizi kwa kumuwaza ALIYEKO KWENYE NAFSI ujue wazi unatakiwa kuwajibika kuileta AMANI YA MOYO WAKO MAHALA PANAPOSITAHILI vinginevyo wewe ni MHANGA TU.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz