HASARA APATAYO MWANAUME KWENYE MAHUSIANO YAKE NI PALE MOYO WA MWANAMKE WAKE UNAPOISHI NA MWANAUME MWINGINE 😂😂 - EDUSPORTSTZ

Latest

HASARA APATAYO MWANAUME KWENYE MAHUSIANO YAKE NI PALE MOYO WA MWANAMKE WAKE UNAPOISHI NA MWANAUME MWINGINE 😂😂

Image result for mapenzi wakubwa
Ni ngumu sana kwa Mwanaume kuweza kumuondoa Mwanaume mwenzio kwenye MOYO WA MWANAMKE japo wengi tunaamini katika matendo yalotawaliwa na ULAGHAI lakini jibu ni dogo sana;
• MWANAUME ALIYEMILIKI MOYO WA MWANAMKE KAMWE HATAONDOLEWA NA MWANAUME ILA NI MWANAMKE MWENYEWE KUAMUA KUMUONDOA ðŸ’¯
Mwanamke kwa uhalisia ni MBINAFSI ndo maana Mwanamke anaweza kuachana na Mwanaume ampendaye kisa tu Mwanaume huyo hajatimiza haja za Mwanamke huyo ila ndani ya moyo wake ATAISHI NA MWANAUME HUYOOOO😂😂
Wanaume wengi tunaishi na Wanawake za Wanaume wengine, Maana Mwanamke anaweza kuishi na siri mpaka kufa kwake, Ndo maana nikasema ili Mwanamke akupende kwa kumaanisha ni HIYARI YAKE💯
Wanawake wengi mioyoni mwao wanaishi na wanaume wasoishi nao ki mwili kwani MWANAMKE HUWA HAACHI KUMPENDA ALOMUUMIZA kwani ili MOYO wa Mwanamke uumie ni dhahiri UPENDO WA DHATI UPO KWA MTU HUYO.
Mwanaume fahamu jambo hili;
• UKIONA MWANAMKE ANAONGELEA MAUMIVU YA MAPENZI USISUMBUKE NAE MWACHE AMALIZANE NA MWANAUME ALOMUUMIZA.
Mwanamke ili afungue UPENDO WA DHATI KWA MWANAUME MWINGINE BAADA YA KUUMIZWA ni lazima aamue mwenyewe kuendelea mbele na kusamehe yalopita vinginevyo UTAKUWA UNAKIMBIZA PAKA ðŸˆ MWEUSI GIZANI😂😂
Ni ngumu Mwanamke kuingia Mahusiano akayafurahia kama bado anampenda Mwanaume Mwingine, Hawa nao ni bin adam jamani anaweza kumiss URODA akakupa nafasi kwa kivuli cha UPENDO kumbe ni nyegeziiiiii kuna nyeshewaaaa🙈
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz