WANAWAKE IWENI MAKINI NA UPENDO WA MWANAUME 🤦‍♂️ - EDUSPORTSTZ

Latest

WANAWAKE IWENI MAKINI NA UPENDO WA MWANAUME 🤦‍♂️


Nature ya MWANAUME ni sawa na tabia ya SIMBA🦁 muda wote yupo mawindoni, baada ya kukupata na kujua ni sababu ipi itamfanya kuishi na wewe hiyo ndo atainuka nayo na kuomba uwe MKE wake😂
Upendo ❤️ wa Mwanaume ambao ndiyo unaweza kukupa FURAHA NA AMANI hautapatikana kwa JAMBO LINALOTOKANA NA UHITAJI AMA SABABU ndo maana hali ya MAPENZI YA SASA IMEKUWA NGUMU SANA🤔
Kutwa unaambiwa NAKUPENDA lakini vile wewe UNAMPENDA ukijaribu kuweka MIZANIA unabaki peke yako, lakini usivyo mjuzi wa MAARIFA unajipa MOYO ðŸ’– ukiamini upo wakati ATAKUPENDA 
Upendo ❤️ hauji mara mbili ila Mara moja, Mtu akishindwa kukupenda wakati kuna JOTO LA MAPENZI vipi DOSARI zikianza kujitokeza🤷‍♂️
Mwanaume sifa yake MAJUKUMU lakini kama unaishi na Mwanaume na HAKUPI MATUNZO nawe unajidai MWANAMKE ðŸ˜‚
Mwanamke ni yule anayetunzwa na Mwanaume, Lakini ikiwa wewe ndiye MWANAMKE SHUPAVU unagharamia maisha ya Mwanaume basi ujue Kwamba UMEUKANA UMWANAMKE WAKO na kuvaa nguvu ya Mwanaume, tarajia MAJUTO siku za USONI maana KUMFUGA MWANAUME NI KUSHINDWA KUJITAMBUWA🤔
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz