MFAHAMU MWANAMKE; - EDUSPORTSTZ

Latest

MFAHAMU MWANAMKE;


Kila Mwanamke aliyepo DUNIANI na akili yake ikiwa na MALENGO YA MAISHA YAKE YA BAADAYE sio wa kumdhania ila unapashwa KUISHI NAE KWA KUMFUNDISHA JUU YA UPENDO JUU YAKO.
Wanaume wengi sana wanalizwa na wanawake ila hawawezi kusema kwa kuogopa FEDHEHA huku wakikosa haki zao kama vichwa vya nyumba, Kila Mwanamke DUNIANI shauku yake ni kupendwa, Mwanamke akipata Mwanaume wa kumpenda, kumjali, kusimama kama BABA kwake kwa vyovyote hawezi kumuacha Mwanaume huyo hata kama HAMPENDI🤔
Ni rahisi sana kumshawishi Mwanamke ikiwa utagusa sehemu ya MAHITAJI YAKE hata kama haitakuwa yote, lakini hilo halimfanyi KUKUPENDA KWA MOYO WAKE bali kwa sababu zake, na akitokea AMPENDAYE KWA DHATI hata kama hana PESA kukusaliti wewe mwenye nazo, na akaambatana na asokuwa nazo akiamini wewe utahudumia PENZI LAO na ukigundua yupo tayari hata kukuacha😂😂
Ila akikosa mahitaji anaweza KUMSALITI asokuwa nazo na kutafuta wa KUMTIMIZIA MAHITAJI YAKE hapo ndo utakubaliana nami kwamba MWANAMKE ni MAMA😂
Kosa kuu la Mwanamke ni;
 KUMPENDA MWANAUME KWA HISIA HUKU AKISAHAU KUWA ANAYO MAHITAJI MUHIMU KWENYE MAISHA YAKE PENGINE WA HISIA NAE HANA PESA NA MWENYE PESA HANA HISIA NAE🙊
Ndo maana imekuwa NGUMU KWA MWANAMKE KUJUA AMPENDAYE NI YUPI NA ASOMPENDA NI YUPI mara nyingi wanawake wa aina hii HAWANA MISIMAMO🤔
Ndo maana Wanawake wanaojua KUTAFUTA PESA Wanaweza kujua ampendaye kwa sababu mahitaji sio sehemu ya kipaumbele chao ila UPENDO japo nao wamekutana na hii GENERATION wanajutaaa😂😂
Nao wanalea WANAUME WA WENGINE Yaani ni fully DRAMA 🎭
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz