USIINGIE NDOA ILIYOTOKANA NA FARAJA - EDUSPORTSTZ

Latest

USIINGIE NDOA ILIYOTOKANA NA FARAJA


Kwa DUNIA 🌎 ya sasa ndoa nyingi zinatokana na neno:-
 ATAKAYEKUJA HUYO NDIYE NITAFUNGA NAE NDOA.
Ifahamike kwamba NDOA sio SHEREHE bali HARUSI ndo SHEREHE 😂😂
Wengi badala ya kuichuchumilia NDOA wamejikuta wakihitimisha UPWEKE kwa kutafuta Mwenza wa HARUSI huku wakisahau HARUSI ni tukio la siku moja na uhalisia wa baada ya harusi ni kulilinda AGANO waliloingia MADHABAHUNI mbele ya SHEKHE na MCHUNGAJI/PADRI 🤔
Kwa sasa NDOA HALISI ni chache mno, Ila NDOA HARUSI ndizo nyingi Sanaa, Chanzo cha MATABAKA haya ni kutokana na watu wengi kukosa kuolewa ama KUOA watu walio wapenda na kujikuta wakaangukia kwenye UPWEKE ambao utagharimu UVUMILIVU na kupelekea Mtu kukata tamaa na Kuamua uamuzi wa MPITO😭😭
Mahangaiko ya NAFSI mara zote huumiza MOYO 💔 na kwa MHANGA kama hakujua HITAJI LAKE ataangukia kwenye kutafuta FARAJA mwisho kabisa ni ni yeye kulazimisha KU-RELEASE PAIN bila kujua Kwamba kwa kipindi kifupi ataweza KUPOZA moyo na baadaye hali ya UHITAJI ITABAKIA PALE PALE na hapo ndipo ataleta shida upande wa pili na GHARAMA YA KUVUNJA NDOA HIYO ITAHARIBU KILA KITU ALICHOKIDHANIA KUWA NI SEHEMU YA UPONYAJI WAKE 💯
Kuliko kukata tamaa kuuishi UPENDO 💘 WA DHATI 💕 bora ukawa peke yako kama Mtume Paulo, kuliko kumchukuwa yeyote ili akugange MOYO 💖 niamini ni kwa kitambo tu utarejea kwenye HITAJI LAKO huku ukiwa tayari umefungwa na KIAPO MBELE YA MADHABAHU YA MUNGU utakuwa umeikosea NAFSI yako, lakini pia UTAKUWA UMEMKOSEA MUNGU KUMDANGANYA KWA NDOA ULIYOINGIA 💯
Ikumbukwe MUNGU anatazama AGANO LA UJANA WAKO uwe makini na MAAMUZI yako juu ya NDOA ni hatari sana pengine HUTAWEZA TENA KUPATA UAMUZI SAHIHI.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz