KWA DUNIA 🌎 YA SASA THAMANI YA MWANAMKE INACHANGIZWA NA VILE ALIVYO NAVYO💯 - EDUSPORTSTZ

Latest

KWA DUNIA 🌎 YA SASA THAMANI YA MWANAMKE INACHANGIZWA NA VILE ALIVYO NAVYO💯


Dunia inakimbilia kwenye UANGAMIVU hasa kwenye swala linaloitwa UPENDO ðŸ’˜
Watu wengi wanatazamana kwa UWEZO WALIO NAO kwamba bila kuwa na kitu ambacho kitaleta faida kwake basi anakosa sababu ya kuwa nawe ðŸ¤”
Mahusiano na NDOA nyingi ili zidumu ni pamoja na KUTENGENEZA ULINGANIFU WA KILA KITU vinginevyo mmoja anapokuwa yupo LEVEL fulani na mwingine yupo chini yake KAMWE HAWATAFIKIA UPENDO ðŸ’˜ WA DHATI ðŸ’• kwa sababu kutakuwa na hali ya KUBAGUANA KWA MUONEKANO ðŸ˜‚😂
Mwanamke ndiye mwenye kuhitajika kuwa na kitu kuliko Mwanaume japo inatakiwa Mwanaume ajue kucheza na HISIA ZA MWANAMKE ðŸ’¯ Maana Wanawake wa sasa wamepofushwa na MUONEKANO WA MWANAUME hata kuamini katika UTANASHATI ðŸ•º
Kwamba ili Mwanamke awe na UHUSIANO ama NDOA itakayompa FURAHA NA AMANI lazima awe na MALI KIDOGO ili Mumewe apate pa kuanzia, Maana Wanaume wa sasa wanasema KAZI RAHISI NI KUMFURAHISHA MWANAMKE UTAPATA UTAKACHO.
Mwanamke uwapo na MALI ambazo zimepatikana kwa nguvu zako USIAMINI ðŸ’¯ UPENDO WA MWANAUME Kwani UPENDO WA MWANAUME NI PAMOJA NA KUJITEGEMEA MWENYEWE vinginevyo Mwanaume atakuwa yupo kwenye MTAJI WA MASIKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE ðŸ˜‚😂😂
HAPPY NEW YEAR 2020 ðŸŽ‰ ðŸŽŠ ðŸŽˆ ðŸŽ‡
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz