UNATAKA KUJUA NI KWANINI WANAUME NDIYO HUONGOZA KWA KUTELEKEZA WATOTO WAO? - EDUSPORTSTZ

Latest

UNATAKA KUJUA NI KWANINI WANAUME NDIYO HUONGOZA KWA KUTELEKEZA WATOTO WAO?

Image result for UNATAKA KUJUA NI KWANINI WANAUME NDIYO HUONGOZA KWA KUTELEKEZA WATOTO WAO?
Ndiyo unaweza kudhani nikwakua wanaume hawabebi mimba hivyo hawafahamu uchungu wa mtoto, hilo ni moja lakini jingine ni kwakua wanaume wengi hawawafahamu watoto wao. Ndiyo hata wanaume ambao wanahudumia vizuri, wanaishia tu kulipa ada na kutoa hela ya chakula na mavazi.
Lakini hawawajui watoto wao, hawjaui tabia zao, hawajui upweke wao, hawjaui wakiumw awnaakuaje, hawjaui furaha wlaizonazo, hawjaui chochote hivyo kuwa rahisi hata wakipata michepuko basi kutelekeza watoto.
Kwamba Mama akimuacha mwnaae kwa mda ataanza kmiss kelele zake, atamiss kuitwa itwa Mama na maswlai yakukera ya mtoto, atamisi kilio cha mtoto na kicheko chake. Ndiyo atamiss kumbadilisha mwanae nepi.
Atamisii kumfokea baada ya kujikojolea, atamiss mtoto kuingiza mchanga ndani. Wewe ndiyo Mama najua unajua zaidi kuliko mimi, lakini kwa bahatoi mbaya wBaba wengi hawamiss vitu kama hivi. Akina baba wengi hawnaa mahusiano na watoto wao.
Sio kwmaba hawawapendi hapana, wanawapenda sana sema ndiyo hivyo, wakilia hawawabembelezi, utasikia mpelekee Mama, wakijisaidia mpelekee Mama, wakiumia ni Mama hospitalini ni Mama. Hembu nikuulize lini mume wako alishambadilisha mtoto nepi, alishafagia mchanga alioingiza mtoto.
Yaani mtoto umemvalisha vizuri halafu kajikojolea, yess ni keto lakini ni kitu cha kumiss. Ndiyo Baba anamajukumu mengi, yupo kazini na mara chache hata anaonana na watoto sasa. Kabla ya kumuacha mumeo au kumrahisihsia kuwatelekeza wanao, hembu fanya kitu kimoja, jifuzne namna ya kutengeneza mahusiano ya baba na mtoto.
Unataka kujua namna ya kumlazimisha Baba kukaa na mtoto, kumlazimisha kuabdilisha nepi, kulazimisha kumpikia hembu kama una kitabu changu soma sehemu ya Tano. Kama huna wewe ni shilingi elfu mumi tu. usifanye kila kitu,c hagua kimoja na anza kukfanyia kazi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz