UJUMBE KUTOKA KUNGWI ☝️😀☝️👌👌👌 - EDUSPORTSTZ

Latest

UJUMBE KUTOKA KUNGWI ☝️😀☝️👌👌👌

Image result for UJUMBE KUTOKA KUNGWI
1. Kuna mwanamke mpaka saa hizi ajatandika kitanda toka alipo amka. Eti yupo busy na kusaka noti. Hahahahaha wewe ni bachela sio wife material hata iweje. Ndio mnaotuchafulia cv wanawake.
kama upo ukome 😏😏😏😏

2. Kuna mwanamke hadi muda huu ajui mumewe anakula nini ila yupo beautfull wives anachat. Nae anajiita mke mwema.
weeee ushindwe.... Kaanze upya 👌👌👌👌

3. Kuna mwanamke amekaa saa hizi chakula cha mume kapika house girl na hajui ni chakula gani. Alafu anajiita mke. We mke au mtoi shoo. Shindwa mke afanani hivyo.
Leo wiki end mume ale chakula chako woiiiiiiiiiiiiii

4. Mwanandoa ikifika usiku na likanga kama anaenda kufanyiwa tohara. Alafu anakuja kulalamika oooohh mume anitombi. Woi anakutombaje na unajiandaa kwenda kutahiriwa........
Night dress buku 😏😏😏😏

5. Mwanandoa chupi mbayaaaaaaa mpaka inafanana na matako yake. Alafu unataka mume avutiwe na wewe. Akiangalia chupi lako tu amekinai na huo mwili. Chupi moja mwaka mzima kisa mume kamzoea.
We huyo si mjomba wako. 😏😏😏👌




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz