Naandika kwako binti yangu - EDUSPORTSTZ

Latest

Naandika kwako binti yangu


BINTI YANGU. UNACHOHITAJI SIO HARUSI YA NDOTO ZAKO BALI NDOA YA NDOTO ZAKO. SIO PETE YA NDOTO ZAKO BALI MWANAUME WA NDOTO ZAKO. HARUSI NI TUKIO LA SIKU MOJA, NDOA NI TUKIO LA MAISHA YAKO. HARUSI ISIPOFANYIKA KELELE ZAKE NI ZA MUDA TU NA ZINAISHA ILA NDOA IKIVUNJIKA NI DOA LA MILELE.
JIANDAE KUWA MKE NA MAMA, PAMOJA NA MAZOEZI YA KUKATA TUMBO ILI SHELA IKAE, FANYA NA MAZOEZI YA TABIA ILI NDOA IDIMU. UHAI MREFU WA NDOA UNAWATEGEMEA NINYI WAWILI, WALA HAUPIMWI KWA UKUBWA WA SHEREHE YA HARUSI. SISEMI USIFANYE SHEREHE KUBWA KAMA UWEZO UNAO, ILA USIACHE KUINGIA KWENYE NDOA KWA SABABU YA SHEREHE, WALA USIIDHARAU MBEGU KWA SABABU HAIONEKANI KAMA MBUYU KWA SASA.#kibonde
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz