Mwanamke ukiona dalili hizi achana na huyu mwanaume au mwandikie barua ya kupunguza uchafu na usaliti. - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamke ukiona dalili hizi achana na huyu mwanaume au mwandikie barua ya kupunguza uchafu na usaliti.


- Toka mlipoanza mahusiano mkisex unatokewa na
1- UTI za mara kwa mara tofauti na mwanzo
2- Vipele vinachomoza kwenye uke tofauti na mwanzo
3- Miwasho kwenye uchi wa nje na ndani tofauti na mwanzo
4- Uchafu kwenye harufu unaotoka ukeni tofauti na mwanzo
5- Mvurugiko wa hedhi yako tofauti na mwanzo baadaye utasikia Una PID au uchafu kwenye kizazi.
KUMB: Dalili zote zinaashiria mme wako haoshi dudu lake huko nje vizuri baada ya kutoka kufanya sex, au wewe mwenyewe huwa ni lichafu baada ya sex unalala na mauchafu au hujisafishi vyema.
Je umepata dalili ya msingi ambayo itakufanya uachane naye leo?
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz