MUNGU AMEAGIZA KWA MWANAUME UKUMPATE MSAIDIZI - EDUSPORTSTZ

Latest

MUNGU AMEAGIZA KWA MWANAUME UKUMPATE MSAIDIZI


Mwanamke anaweza akamfanya mwanaume millionaire akawa billionaire na pia kuna mwanamke mwingine anaweza akamfanya mwanaume billionaire akawa millionaire ..
Brother uchumi ulio nao ni Mungu amekuamini na kukukilimia kwaiyo kautunze sababu Mungu anakuona na ukawe makini sana sababu asila ya Mungu isije kuwaka juu ya maisha yako na uchumi wako sababu ya chaguo bovu la nani wa kuambatana nae ulilo lifanya...
Sababu Mungu atakupa yule ambaye kama kuna 10 atasaidizana na wewe iwe 50 na kila siku atalia kwa machozi kumsii Mungu akiwa na asila za maisha kukuinua mume na familia kwa ujumla ili baraka za Mungu zishuke kwenye familia na mke bora moyo wake siku zote uwa na amani juu ya mumewe sababu moyo ukiinama tu
Moyo wa mke ukiinama juu ya mume kwa lolote malaika wa mafanikio ya ndoa uondoka kwenye familia pia mume tambua mwanamke pekee ambaye ameruhusiwa kuomba kwa Mungu baraka zako juu mafaniko kwenye familia yako ni mkeo kwasababu nafsi zenu ni moja mke ukawe makini yu ya moyo wako kwa mumeo..kama kuna makwazo usiakikishe umekaa kaa nayo mpaka jua likazama usiweke moyo shusha acha ili uone mkono wa Bwana kwenye ndoa yako
Mke ukimpa nafasi vizuri mumeo utasababisha mume uchaji wa kukaa vizuri na Mungu ukaongezeka au ukapungua pia kwa mume pia sababu ukianza sababisha mawazo ya mumeo au mkeo yakawa yasielekee kwa Mungu kisa makwazo yaani mume kabla ya kukaa kumtafakari Mungu anaanza kuwaza mke anaondoka mke ananisumbua inamaana hata namna ya uombaji mbele za Mungu uanza badilika aombi tena kesho yake uchumi anaomba mke au mume atulie ambayo sio maombi mazuri sana sababu yafaa amani kila muda ili nguvu za Mungu zikae ndani ya familia
Mwalimu Bemasha natamani kuona ndoa yako iwe na furaha natamani ona Mungu akisimama upande wa familia yako ukawe makini sana familia yako amani yake isiyumbishwe na upande wowote wewe taka Mungu awe kila kitu kwa ndoa yako
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz