HIZI NDIO SIFA KUNTU ZA MWANAMKE WA KUEKWA NDANI "WIFE MATERIAL", JE! BONGO BADO KAMA HUYU WAPO KWELI? - EDUSPORTSTZ

Latest

HIZI NDIO SIFA KUNTU ZA MWANAMKE WA KUEKWA NDANI "WIFE MATERIAL", JE! BONGO BADO KAMA HUYU WAPO KWELI?


1. Mpenzi wako akija kwako na akakakuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe.. huyo muoe....
2. ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu... muoe anajua uchumi.
3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na wewe una vitz yako Number A lakini akaamua kuja kwako... usimuache huyo...
4. Mwanamke akikutembelea kwako akakuta nguo zako chafu akafua zote mpaka za wadogo zako, huyo mke mwema usimuache!
5. Mwanamke unampa sh elfu tano akafanye shopping sokoni anakurudishia chenchi... huyo usimuache hata kidogo anajua kubana bajeti na muaminifu.
6. Ukimpata mwanamke ambaye anakupigia simu na kukuuliza kama anaweza kukutumia credit au hela ya lunch, au anakupa pocket money saa nyingine, huyo tangaza ndoa fastaaa!
7. Mwanamke ambae anakupa password ya benki, laptop, simu na emails zake, huyo ni zaidi ya malaika oa haraka... watamgombania wenzako!
8. Ukipata mwanamke ambaye mkipanda daldala analipa nauli au mkitoka out analipia bill ya chakula na vinywaji... huyo usimuache! anajua wajibu wa wana ndoa!
9. Ukimpata mwanamke ambae mnapokula, yeye anachagua mifupa tu na minofu anakuachia wewe, huyo usimuache... oa fastaaa... anajali afya yako!
10. Ukipata mwanamke ambae kila ukimuuliza angependa umletee nini ukirudi toka kazini, lakini yeye anakwambia hahitaji kitu ila anataka urudi salama, huyo ndio mke... sio kila siku unatumwa chips na kuku!🚢🏻🚢🏻🚢🏻🚢🏻🚢🏻ivi
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz