MNAGOMBANA NINI KISICHOISHA!? - EDUSPORTSTZ

Latest

MNAGOMBANA NINI KISICHOISHA!?

 Kila siku ni nyinyi tu mnatuchosha na vikao vya kila mwaka. Kelele, ugomvi, matusi, kutishiana, vinyongo, visasi, kukomoana kama watoto wa chekechea.
Wenzenu wanashirikiana wanajenga maghorofa, wanafungua makampuni, wanaagiza mizigo nje ya nchi, wanafikia malengo na kutimiza Ndoto, ninyi mko hapo hapo kila siku hakuna kinachoenda kwa sababu ya ugomvi usioisha. Hata majogoo siku hizi yameacha kupigana hovyo. ACHENI UPUMBAVU. UMRI UNAENDA. HAMTAISHI MILELE, TUMIENI HUU MUDA KUPENDANA MAANA HAMJUI KESHO.
Counsellor
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz