💏JINSI YA KUMUWEKA MUMEO KIGANJANI👌 - EDUSPORTSTZ

Latest

💏JINSI YA KUMUWEKA MUMEO KIGANJANI👌


Image result for JINSI YA KUMUWEKA MUMEO KIGANJANI
🍓Jamani ngojeni niwape habari ya kuboresha mapenzi kwa waume zenu hata mkawa mmewaweka kwenye viganja na unamshika utakavyo bila mwanamke yeyeote kumsumbua na kumrubuni mumeo👌upooo hapoo shoga👌💃
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷

1. Mume kama mume anachoka kitu kimoja au hikohiko kila siku hivyo anataka mabadiliko, sio tu kwenye chakula kwenye kila kitu kinachohusu nyumba hivyo ni jukumu lako mama/mke kuwa na mabadiliko hayo.ubunifu muhimu💃💃
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷

2. Mke kama ulizoea kuvaa suruali mara kwa mara hebu uwe unabadilisha mara moja moja na kuvaa sketi fupi usawa wa magoti iwe ya kubana kidogo (hakikisha mumeo anaona mabadiliko hayo). Kama ulikuwa wa kuvaa sketi ndefu basi siku hiyo vaa pensi usawa wa magoti (mkiwa nyumbani kwenu na si vazi la kazini) hakikisha mumeo anakuona hii huleta hamasa ya kutaka kujua mke wangu kesho atatokaje hivo kumuongezea Hamu ya kukuangalia kila siku.
🌷🌷🌷🌷🌷🌷

3. Unajua tabia za haose girl nyumbani kwako anapomuhudumia mumeo au hata anapowahudumua wewe na mumeo, mfano anavowaandalia chakula na kuwakaribisha, anavokuwa amevaa, sauti na lugha yake anapoongea na nyie. (hapa ni kuwakamata waume wanaotamani kutoka/kutembea na housegirls) siku moja moja hasa week end ondosha watu wote nyumbani kwako na ubaki wewe na mumeo kisha vaa kama haouse girl (like kanga ya lubega kiblose simple na sketi simple) anza kumkaribisha mumeo karibu kuoga (kwa sauti ya kinyalu) mnisamehe wanyalu si kwamba housegirl wote ni wanyalu.
Huku ukiwa unajibinya vidole kama mtu mwenye woga unamuita mumeo, samahani  darling chai tayari na kagoi kwa mbali cha heshima. Hapa mumeo lazma akutizame na hakikisha siku hiyo hatoki.

⏩ wanaume akili zao huwa zinawaza kitu kilichopo mbele yake na si cha baadae sana hivo ukifanikiwa kuiteka akili yake kwa wakati huo ndo umemnasa. Mwanaume pia hapendi kuambiwa kuwa amekosea hata kama amekosa hivo mke usipende sana kumwambia mumeo makosa yake hata kama amekosa, ikibidi unatumia lugha ambayo hatajisikia vibaya.
Kila siku umpende na kumjali mumeo tuu hata kama yeye hakurudishii mapenzi hayo vile wewe unamuonesha.

4. Jaribu kubadilika na kuwa mbunifu  hasa ukijua mwanaume wako anapenda kwenda baa👌Siku nyingine unakuwa baa medi wewe mke ndio na siku hiyo unampa ofa mumeo akiwa nyumbani kwenu. Mke unavaa kama baa medi wanavovaa kisha baada ya mlo unaanza kumkatia kanywaji na ukiwa nae mezani wewe usinywe sana ili uweze kumuhudumia, unafanya kama baa medi wanavofanyaga, unamkaribisha kinywaji na baada ya bia mbili tatu unamuomba kukaa nae muongee obvious atakubali. Hapo nawe unaomba uagize kinywaji kimoja akulipie (kumbuka unafanya kama uko baa ila uko nyumbani kwako) lengo ni kumteka mume akili asikuone kama mke akuone kama baa medi na unampa huduma zote za baa medi. Ili kesho yake ukirudi kuwa kama mke anakuwa ameshabadili mtazamo wa kuwa mke wangu nimemkinahi.
Akikuruhusu kukununulia kinywaji hunywi kwanza unaka tuu nakuanza kustorisha nae habari za kawaida tuu za kitaa au za maisha. Akikuuliza mbona hunywi kinywaji nilichokununulia unamwambia ntakunywa baadae niko kazini mme wangu kukuhudumia  hapo unakuwa umezidi kumteka kiakili na anakuwa anajiuliza niko baa niko nyumbani👌 kwakuwa kanywaji katakuwa kamemtembelea vizuri tayari atakubembeleza tuu kunywa bana hata moja tuu hutalewa maana wanywaji huwa wanapenda kampani ya kunywa. kunogesha uhalisia wa baa ukiwa nyumba kuamfanya kama ni mnywaji atulie na apende kunywea kinywaji nyumbani kuliko kwenda baa na kuudi usiku mwingi👌👌👌

5. Kama mmeo anapenda vyakula vya hotelini kuliko nyumbani tafuta namna ya kujua kupika kama huko hoteli wanavyopika mpikie vyakula vitamu atakavyopenda 👌kiasi kwamba anapotoka kazini anakuwa na hamu ya kujua mkewe amempikia nini kwa siku hiyo na akivuta picha jinsi unavyojua kupika ndio balaa linazidi👌👌ama ukijua mmeo anapenda kula kwa mama ntilie siku yingine unakuwa mama ntilie, pata vionjo vyo te wanavyofanya mama ntilie kuwakaribisha wateja wao kisha nawe umkaribishe mume kwa staili hiyo👌👌 asikwambie mtu shoga mwanaume ukimlisha c

Mwalimu Bemasha Bemastasha, [12.02.20 10:12]
hakula kizuri akishiba na mboo inamsimama inataka kushiba👌👌👌sasa hapo mwali wangu ndio usimbanie nenda kampe dyudyu kiufasaha kama navyofundisha humu kila siku👌👌

6 Mpe mumeo anachohitaji :💔💏

Wanawake wengi wanashindwa
kujua wao wanatofautiana na
wanaume kwa hisia na hata
mawazo ya mapenzi. Wanaume
wana mambo wanayoyapenda
kutoka kwa wake zao hasa
katika masuala ya mapenzi.
Kwanza wanawake wajue
wanaume wengi wana hisia za
haraka za kufanya mapenzi
kuliko wanawake.
Mwanaume alivyoumbwa ni
kwamba akiona tu mfano
mwanamke umevaa kanga
moja au umevaa night dress
hiyo inatosha kusisimua. Wapo
wanawake wanaowasisimua
waume zao bila wao kujua.
Mfano umevaa tu kanga moja
au night dress ndani huna kitu.
Kwako ni jambo la kawaida
lakini kwa mwanaume sio la
kawaida kwa kukuona hivyo
tayari unakuwa umeamsha
hisia zake. Ukimwona anakuja
kutaka haki yake usidhani
anakusumbua. Ujue tayari
mwenzako alishafiria mbali
zamani we huna habari.
Ni vyema ukawa mwangalifu
kujua hisia za mwanaume huyo
mumeo kama inawezekana
mpe anachohitaji kwani
usipofanya hivyo unamwathiri
kisaikolojia na anaweza
kufikiria nje. Wanawake wengi
wa nje waliowaweka waume
zenu kiganjani hiyo ndio mbinu
wanayotumia. Akiwa na ahadi
na mumeo atamkuta kanga
moja au amevaa night dress na
kila anachohiji atapewa haraka
tena kwa madoido. Kwanini
akitaka hayo hayo kwa mkewe
hapewi je ana kosa gani
anapofikiria nje

7. Uwe msafi wa mwili:💔💏

Sio usafi wa chumba pekee
unatosha pia na usafi wa mwili
wako ni muhimu.
Niwakumbushe wanawake
hakuna kitu kinachowachukiza
wanaume kama mwanamke
mchafu. Asiyejipenda. Sio
lazima ujirembe sana lakini
jitahidi ukawa msafi. Oga vizuri
paka mafuta au lotion yako
jipulizie manukato kidogo
yanayomvutia mumeo. Sio
lazima utumie gharama kubwa
usafi wa kawaida unatosha na
kupaka rotion kuna fanya ngozi
ya mwanamke ikawa laini
inayovutia wanaume
wanapenda sana wanawake
wenye ngozi laini yenye
kuvutia inaleta msisimko
mumeo anapokuwa
anakuangalia mara kwa mara.
Wanawake wa nje hawana zaidi
ya hayo ni hayo hapo juu na
mengine ndiyo wanayotumia
kuwaweka waume zenu
kiganjani. 👌

🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷

❤️KUMUWEKA KIGANJANI MTU MZIMA NA AKILI YAKE UNAPASWA UANZIE MBALI SHOGA NA UFANYE KAZI KWELI KWELI,MUME ATAKA MALEZI ATIIIII👌👌👌

🌸🌸🌸🌸🌸🌸
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz